Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wakuu naomba kujuzwa ukweli wa hili, kuwa baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na wanasiasa wenye ushawishi wakiongozwa na Abdulrahman Babu wa Umma Party ambao walikuwa na itikadi za kikomunisti na wangeweza kuifanya Zanzibar kitovu cha Ukomunisti Afrika Mashariki
Kuzuia hilo , Waingereza na Marekani wakamshinikiza Nyerere kuungana na Zanzibar na kundi hilo likamezwa kwenye serikali ya Muungano na Karume kupata nguvu
Je kuna ukweli wowote kuhusu hili?
Mohamed Said