inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Unavyoongea utadhani kulinda nchi ni sawa na kulinda nyumba...unapigwa mande na marekani,uingereza na Tanganyika,unajilindaje nchi iliyopata Uhuru so zaidi ya mwakaSerikali, na vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa vimelala tu.
Kama walipewa Uhuru na kutambuliwa na UN kwa Nini wakawa wazembe kulinda Uhuru huo?
Hata kama, lakini kungekuwa na namna hata Serikali ingejaribu kuyazima hata Kama ingeshindwa, lakini inaonyesha Kama walikuwa usingizini Hadi mlugaluga kama Okello akaweza ku organize mapinduzi nchini mwaoUnavyoongea utadhani kulinda nchi ni sawa na kulinda nyumba...unapigwa mande na marekani,uingereza na Tanganyika,unajilindaje nchi iliyopata Uhuru so zaidi ya mwaka
Okello ni mamluki tu,mipango ilianza kitambo,wakampeleka okello Pemba akiwa Kama mfyatua tofali,unachukulia Mambo rahisi rahisi sanaHata kama, lakini kungekuwa na namna hata Serikali ingejaribu kuyazima hata Kama ingeshindwa, lakini inaonyesha Kama walikuwa usingizini Hadi mlugaluga kama Okello akaweza ku organize mapinduzi nchini mwao
So serikali ilikiwa haijui lolote kuhusu hili? Basi ilikiwa na intelijensia mbovu sanaOkello ni mamluki tu,mipango ilianza kitambo,wakampeleka okello Pemba akiwa Kama mfyatua tofali,unachukulia Mambo rahisi rahisi sana
Intelligencia ni watu,waliamua kugeuka hufiki popoteSo serikali ilikiwa haijui lolote kuhusu hili? Basi ilikiwa na intelijensia mbovu sana
Kumbe CCM (TANU&ASP) ilikuwepo kitambo kabla ya mapinduzi
Sasa lakini, serikali ya kipindi hicho baada ya kugundua meddling alizokuwa akifanya Tanganyika kwenye siasa zake za ndani kwa Nini haikuwa alert na kuimarisha ulinzi, au hata kuomba ulinzi kutoka mataifa rafiki?
Maana nasikia ilipinduliwa kiboya sana...ilikuwa Kama kumsukuma mlevi
Serikali, na vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa vimelala tu.
Kama walipewa Uhuru na kutambuliwa na UN kwa Nini wakawa wazembe kulinda Uhuru huo?
Hata kama, lakini kungekuwa na namna hata Serikali ingejaribu kuyazima hata Kama ingeshindwa, lakini inaonyesha Kama walikuwa usingizini Hadi mlugaluga kama Okello akaweza ku organize mapinduzi nchini mwao
Na hata Kama wasingekuwa na uwezo basi wangeomba mataifa rafiki wangewapa msaada Kama wangegundua hiyo hatari mapema
Duh kumbe..Mkuu wa Polisi wa Zanzibar alikua ni Mzungu, Yeye mwenyewe alishiriki kikamilifu kutoa michongo. Yale mapinduzi hayakufanywa na Okelo kama tunavyojaribu kudanganyana, Yale yalifanywa na U.K, U.S.A, Israel na Tanganyika.
ni kweli Zanzibar hapo ilipofikia Tanzania Bara hawataikuta tena wala kuiuliza juu ya MuunganoHivi unafikiri hao Zanzibar watakubali kufutiwa Serekali yao?
ni kweli Zanzibar hapo ilipofikia Tanzania Bara hawataikuta tena wala kuiuliza juu ya Muungano
kwa miaka 10 inayokuja ya hawa Marais wetu wawili mambo ya Muungano Wazanzibar hawatauzungumzia tena km Bara anataka kuvunja avunje tu kwani wapo mbali
Wabara wanajulikana na hawatapiga kelele tena kwa miaka 10 iliyobakiWabara hawajawa serious kwenye suala la Muungano, Wananchi wakiipressure kweli serekali panaweza kutokea kitu, kazi yao kulialia mitandaoni tu.
Wabara wanajulikana na hawatapiga kelele tena kwa miaka 10 iliyobaki
pia kwetu ni kheri kuliko ilivyotaka kuhamia na kuendelezwa kule kanda ya ziwa bora Zanzibar ijengeke hao sio wabaguzi wenye tamaa.
Mkisema ni Makaburu walishinikiza bado kwangu ni utata, kuna Madagasca, Shelisheli, comoro, bado hawangeshindwa
Bara waliutikisa Muungano kipindi like Cha Mwinyi hadi Nyerere akaingilia KatiWabara hawajawa serious kwenye suala la Muungano, Wananchi wakiipressure kweli serekali panaweza kutokea kitu, kazi yao kulialia mitandaoni tu.
Bara waliutikisa Muungano kipindi like Cha Mwinyi hadi Nyerere akaingilia Kati
Mi nafikiri kikwazo kikubwa Cha huu Muungano kubaki Kama ulivyo ni CCM ya Zanzibar, hawa wangeamua kuungana na kuipa pressure Tanganyika, marekebisho makubwa yangepitishwa.
Wangeanza kwa kuamua kumpitisha mgombea mmoja tu wa Urais Zanzibar wanaomtaka wao na kumpeleka Dodoma, waone je Dodoma watamkataa?
Haya Mambo ya kupelekwa wagombea kibao Kisha mnachaguliwa na watu wengine nayo ni kikwazo
Lakini ndio hivyo tena
Kumbe mnajua basi kaeni kutulia..CCM Zanzibar ni hopeless mkuu, wale ni vibarak tu wa CCM Bara hawawezi fanya chochote, NI wasaka tonge tu
Nani alipanga hayo ?...Mabeberu au viongozi wa Tanganyika na washirika wao kina Hanga ?Muungano ulipangwa hata kabla ya mapinduzi, Moja ya malengo ya hayo mapinduzi ilikua ni huo Muungano
Nani alipanga hayo ?...Mabeberu au viongozi wa Tanganyika na washirika wao kina Hanga ?
Ina maana viongozi wa Asp na hata Umma party (Kina Babu) hawakutambua nini kilikuwa nyuma ya mapinduzi hayo ?.....Yaani walishiriki kitu wasichokielewa ?Waliopanga ni Mabeberu na VIongozi wa Tanganyika ndio walioachiwa Jukumu la kulifanikisha huku malipo ya kazi yao ikiwa ni kuitawala Zanzibar baada ya mapinduzi hayo. Hanga alitumiwa bila ya kujijua na ndio mana siku za mwisho alikua na majuto sana.
Wao wanataka vyeo na pesa.Wengi wao Wana apedomiaIla hakuna haja ya kuwa serikali isiyo na meno