Ni kweli Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulishinikizwa na mabeberu?

Hapo sasa watakuwa unawaona ndezi au?
 
Yaani wamesababisha mchakato halali kuonekana haramu,wamesababisha kiongozi mzuri na muungwana bwana Jamshid aonekane mbaya.
 
Utaifa wa Zanzibar ni imara Sana.Kuna wale wanaoumwa na Aepedomia ndo huwasaliti wenzao ila kuia serikali ya Zanzibar ni kazi ngumu sana
 
Kuna mengi ya kufikirisha katika muungano
 
Huu muungano wa Zanzibar na Tanganyika , hapo baadae unatakiwa kufutiliwa mbali kabisaa, tubaki na nchi moja tuuuuuu.


Maana wakazi wengi wa Zbr hasa weusi asili yao ni Tanganyika.

Yaani mwenye asili ya Tanganyika aongee lugha tofauti na lugha za Tanganyika ??
 
Hakuna nchi ya kibantu kuna nchi za wabantu Tanganyika na Zanzibar zikiwa ni mojawapo, upo hapo ?
 
Be precise, unajua au haujui ?
 
What is your point exactly ?

Zanzibariis arent bantus ?

Of course watakuwa kila kabila kwa vile wanahamia watu tofauti. Ni kwamba msi force uvamizi / muungano kwa vigezo vya ubantu , wabantu wako Kenya, Msumbiji, Kongo na kote wamehamia , mbona hamuungani nao kwanza? . Ajabu tunaambiwa Wazanzibari ni wanyamwezi, Wachaga nk lakini mbona Kimakunduchi au Kitumbatu au Kikojani hakiongewi Tanganyika na kabila lolote???
 
Huna hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…