Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wakati wanapendana ulikuwepo?Naombeni mnipe majibu ...ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara? Lakini mbona baba yangu alipendwa na mama yangu akiwa hana kitu, mimi nimezaliwa Mpaka nafikia umri wa kujitambua nimekuta baba yangu anaishi kwao, yaani kwenye nyumba ya wazazi wake nayo ilikuwa chumba kimoja na sebure.... Lakini mbona ndoa za uswahili asilimia kubwa zinadumu ukilinganisha na zile za ushuwani? yaani unakuta mtu anaishi na mke wake wamepanga chumba kimoja na wanaishi maisha ya kuungaunga Lakini wanadumu wanazaa watoto wanafanikiwa kujijenga na kuwa na makazi yao... Lakini mbona mwanamke huyohuyo unaweza kumpa kila kitu na bado akaenda kumpa penzi fukara?
Mkuu vijana wa sasa wamekosa kitu kinaitwa MASCULINITY.Lakini mbona mwanamke huyohuyo unaweza kumpa kila kitu na bado akaenda kumpa penzi fukara?
Kivipi?Kila kitu kinawezekana
Kwa hiyo mambo yamebadilikaKijana,
Kuna mabinti upendo wao haupo katika vitu,sio jambo la kustaajabisha fukara kupendwa….japo kwa miaka hii mambo n tofaut sana,tuseme ukwel bila kupepesa macho!
Ili binti avutiwe na ww,anataka aone una nn zaid ya hyo muonekano! Vingnevyo umekwisha
tunaweza kumpenda yeyote yule, chamsingi amani ya moyo na utulivukivipi?
🙈Kila kitu kinawezekana
Yapo bhana😃😃Mapenzi bila pesa yapo ila ni kwenye movie 🎥 tu.
Shida nini kijana 😃😃