unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 476
Atumie ndumba kupata pesa ili apate confidence ya kutongoza.Sasa ni pesa au ndumba mkuu?
Atumie ndumba kupata pesa ili apate confidence ya kutongoza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa huna hela hata mawe, visiki vinakuonea.
Ukiwa road mara unajigonga kwenye jiwe, mara unajikwaa
Unaweza kwenda sheli na gari ukiwa na 2,500? Tuanzie hapo kwanza?Kaka yangu Mzabzab unalionaje hili? Mshana je? Hivi unaweza kuongeza confidence kwa ke kwa kutumia ndumba?
Aisee kuna kiasi naamini, mtoto wa kiume usipokuwa na hela unapoteza kujiamini kabisa, hata kutongoza pisi kali unakuwa unaogopa kabisa.
Aisee tutafute hela ili tuwe na ma confidence!
Kujiaamin bila pesa huo ni ukorofi ...Si kweli bana, pesa siyo kila kitu, jiamini
[emoji4][emoji4]Kujiaamin bila pesa huo ni ukorofi ...
Ila bila pesa sahau utelezi wa mwanamkeSi kweli bana, pesa siyo kila kitu, jiamini
Ndiyo ile bila pesa hata ukitaka kuchangia hoja, unaonekana unataka kuanzisha vurugu😂😂Kujiaamin bila pesa huo ni ukorofi ...
Usimdanganye mwenzako, baada ya Mungu(kwa wanaoamini), kinachofata ni pesa.Si kweli bana, pesa siyo kila kitu, jiamini
Kujiamini ni kwenye kutafuta mademu? Hapo mnakosea sana. Kana kwamba mademu ni kila kitu. Inatakiwa tu ndani yako uwe mtu wa kujiamini siku zote. Mademu au sio mademu. Unatakiwa Ujiamini kwamba ukipambania ndoto zako.. utafanikiwa.Kaka yangu Mzabzab unalionaje hili? Mshana je? Hivi unaweza kuongeza confidence kwa ke kwa kutumia ndumba?
Aisee kuna kiasi naamini, mtoto wa kiume usipokuwa na hela unapoteza kujiamini kabisa, hata kutongoza pisi kali unakuwa unaogopa kabisa.
Aisee tutafute hela ili tuwe na ma confidence!
😂 utu wema ni kila kitu kwa mwanaume, mwanaume anayejali, anapenda kweli aarh, mbususu atapata, pesa tutatafuta pamoja.Ila bila pesa sahau utelezi wa mwanamke
If confidence yako ina rely kwenye pesa. Ni better ukajifikira upya.Kaka yangu Mzabzab unalionaje hili? Mshana je? Hivi unaweza kuongeza confidence kwa ke kwa kutumia ndumba?
Aisee kuna kiasi naamini, mtoto wa kiume usipokuwa na hela unapoteza kujiamini kabisa, hata kutongoza pisi kali unakuwa unaogopa kabisa.
Aisee tutafute hela ili tuwe na ma confidence!
Haya maneno ya burudisha baraza tuu. Huo wapo wanaume wenye utu wena na yote hayo lakini ndalama hawana wanaishi kula kwa macho tuu.😂 utu wema ni kila kitu kwa mwanaume, mwanaume anayejali, anapenda kweli aarh, mbususu atapata, pesa tutatafuta pamoja.
Ukiwa huna hela hata mawe, visiki vinakuonea.
Ukiwa road mara unajigonga kwenye jiwe, mara unajikwaa