Ni kweli mwanaume ukiwa huna pesa unakosa kujiamini?

unacheka unamana gani

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
472
Reaction score
476
Kaka yangu Mzabzab unalionaje hili? Mshana je? Hivi unaweza kuongeza confidence kwa ke kwa kutumia ndumba?

Aisee kuna kiasi naamini, mtoto wa kiume usipokuwa na hela unapoteza kujiamini kabisa, hata kutongoza pisi kali unakuwa unaogopa kabisa.

Aisee tutafute hela ili tuwe na ma confidence!
 
Unaweza kwenda sheli na gari ukiwa na 2,500? Tuanzie hapo kwanza?
 
Kaka yangu Mzabzab unalionaje hili? Mshana je? Hivi unaweza kuongeza confidence kwa ke kwa kutumia ndumba?

Aisee kuna kiasi naamini, mtoto wa kiume usipokuwa na hela unapoteza kujiamini kabisa, hata kutongoza pisi kali unakuwa unaogopa kabisa.

Aisee tutafute hela ili tuwe na ma confidence!
Kujiamini ni kwenye kutafuta mademu? Hapo mnakosea sana. Kana kwamba mademu ni kila kitu. Inatakiwa tu ndani yako uwe mtu wa kujiamini siku zote. Mademu au sio mademu. Unatakiwa Ujiamini kwamba ukipambania ndoto zako.. utafanikiwa.

Unatakiwa ujiamini kwamba hata kama sasa ivi hauna Pesa, ila ww umezaliwa kuwa Fogo.

Hao mademu wakali.. uwatumie kama motisha sababu hautawapata kama hauna pesa.

Waangalie tu.. watamani tu.. halafu ujisemee Nyie Mtanikoma Nitakapokuwa Fogo Mkubwa sana.

Kwa sasa achana nao sababu watakurudisha nyuma.. Ila pambana kutafta hela, na KAMWE.. USIRUHUSU KUWA NA LOW SELF ESTEEM AU KUJIDHARAU.. AU KUWA SIO MTU WA KUJIAMINI. Hilo litakuangusha siku zote
 
Kaka yangu Mzabzab unalionaje hili? Mshana je? Hivi unaweza kuongeza confidence kwa ke kwa kutumia ndumba?

Aisee kuna kiasi naamini, mtoto wa kiume usipokuwa na hela unapoteza kujiamini kabisa, hata kutongoza pisi kali unakuwa unaogopa kabisa.

Aisee tutafute hela ili tuwe na ma confidence!
If confidence yako ina rely kwenye pesa. Ni better ukajifikira upya.
Means in the middle of life ukikosa pesa hata siku moja kujiamini 0.
 
😂 utu wema ni kila kitu kwa mwanaume, mwanaume anayejali, anapenda kweli aarh, mbususu atapata, pesa tutatafuta pamoja.
Haya maneno ya burudisha baraza tuu. Huo wapo wanaume wenye utu wena na yote hayo lakini ndalama hawana wanaishi kula kwa macho tuu.
Mwanamke ataanza kuangalia hayo mengine baada ya kujihakikishia kuwa hapa pesa ipo
 
Back
Top Bottom