Hata kama ni kueleweka Mheshimiwa Ndugai alishindwa kujizuia na hormones zake zikamtoa kwenye uhalisia na kumuweka kwenye attacking ya liwalo na liwe, hasira ambazo unaweza kuuwa bila ya kukusudia ni hatari sana tuseme aliamua kujitoa muhanga.
Nimeisikiliza kideo zaidi ya mara tatu ili kupima tones ya sauti,action za mikono na uhakika wa macho kwa anachokisema ,alikuwa anatuma mashambulizi kwa Raisi wake na kuomba razi hajakosea ni sawa kabisa.
Na kama Raisi angekaa kimya ingekuwa noma zaidi kwake, vyema alivyoamua kumpoza Ndugai kwa kumwambia kistaarabu asihadaiwe na watu wanaomshawishi afanye hili na lile,aridhike na mahala alipo.