Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Hao Wanao Lalamika Simu zao haziwezi kucheki hiyo video.
Lakini kwanini wasibadilishe hadharani kama walikuwa na wasiwasi na hiyo mic.Alafu huo mchezo sasa imefika mwisho wake.Za mwizi ni Arobaini.Hao Watu washikwe na wapelekwe Mahakamani.
 
Mkuu watanzania mimi sijui ni watu wa karba ipi, ni watu ambao hawapendi kufikirisha akili zao kabisaa, angalio jenga hoja yako, macho tumepewa yatusaidie kupembua mambo, akili itusaidie kufahamu
 
Nenda ITC au Kinshasa kashtaki,,,,,umbea tu ulitaka aishi milele au jiuwe ukamsikilize peke yako huko alipoenda,,,tena unadai mods waache ujinga wako hapa,,sokomoko wahed bin mashadda wewe

🙂 🙂 🙂
 
Nenda ITC au Kinshasa kashtaki,,,,,umbea tu ulitaka aishi milele au jiuwe ukamsikilize peke yako huko alipoenda,,,tena unadai mods waache ujinga wako hapa,,sokomoko wahed bin mashadda wewe
Hizi comments za kipuuzi ndo zinzfanya watu wadharaulike alafu baadaye yanakuja na malalamiko kuwa wanatukanwa na kudharauliwa.

Kama unaona mjadala huuwezi hachana nao.
Mleta mada siku nyingine mada kama hizi zina majukwaa yake, peleka huko.
 
Mkuu, hoja yako pia inaweza zungumzwa, kinacholeta ukakasi pale yule technician anapobadilisha kile kipaza sauti kisha baada ya papa wemba kuanguka yule yule anaonekana akiikimbilia ile mic na kuondoka nayo, aliona papa wemba akidondoka lkn kwakwe haikuwa muhimu kutoa msaada lakini kukimbia mic why?? Ngoja kuna clip naitafuta kabla ya tukio zima nikiipata nitaiweka pia
Nakubaliana nawe kuwa yule jamaa yupo bize na mic, siku hizi mtu anakufa watu wanapiga picha! lakini siku zote ukienda kwenye hii miziki ya dance live hizo za kubadili mic ni nyingi sana...mara zinafanya kazi au zinagoma...utawaona tu wanahangaika.
Ila pia cha muhimu ni uchunguzi wa dokta kwanza, huyo mweye mic mbona kushikwa ni rahisi sana sababu ameonekana na dunia nzima atasema nani kamtuma...
ila sumu au radiation ya kuua kwa gafla ni lazima ingeathiri wale waliomkaribia na hata huyo mbeba mic, trust me.
Ujue sumu ya kuvuta, sababu pale hakula au kulamba mic, kwahiyo sumu kaivuta kama hewa if that is the case, ambacho kingetokea angeanza kuhangaika kwa kukosa oxygen, sababu sumu ingestopisha upumuaji na ubongo kukosa oxygen,
Huyu kaanguka na kutulia hajahangaika kwa kukosa hewa...
Cha msingi tupo karne ya 21, ni dokta wa autopy ndie ataaminika baada ya kumchunguza, ikiwa ni sumu ndio huyo jamaa najua kashikwa tu. alete mic ichekiwe uchunguzi uendelee.
 
Kuna kitu kinaitwa autopsy, nadhani kwa kifo cha ghafla hivi hii autopsy hufanyika na ndio hueleza sababu ya kifo mfano kifo cha prince majuzi, na sio video. Ni kweli huyo aliyeleta mic haeleweki vizuri.. Ila kwa sumu kumuua papa wemba gafla pale ni lazima iwe kali sana (very strong and powerful dose) kiasi hata huyo mbeba mic ingemuathiri tu na hata waimbaji na wachezaji walio kua karibu pale na pia kumshika.

Naamini sumu ya hivyo kama ni biological nilazima papa wemba mwili ungeonyesha kuathirika nahata kwa namna yoyote ile kama kuvuja damu, kubadili ka mwili rangi au kubabuka, nahali hii ingewapata pia waliomsogelea na kumshika sababu hiyo sumu imemuingia papa kwa kuvuta hewa if that is the case.

Pia kama waliweka chemical za kutoa miale ya sumu (radio active materials), kumuua pale gafla nilazima wale walio mkaribia, na jamaa aliyebeba mic wataathirika maana hata yeye hakua na protective gears kuziba mikono au pua.

Hicho kifo hapo nadhani ni stroke kubwa au ugonjwa wa moyo (heart failure)......umri na fatigue vinajionyesha hapo dhahiri, anaonekana kabisa ana struggle kutoa sauti na kucheza....hiyo shuguli hapo stage huwa ni pevu hata vijana wenye afya zao huanguka.

Ni mtazamo wangu tu. Ila autopsy ndio yakusema ukweli....video itasaidia ushahidi wa kimazingira tu.
umeelezea vzr sana..wewe ni great Thinker big up!
 
haihitaji uwe na phd ili ugundue kuwa jamaa kuna mchezo ulifanyika, iangalie hiyo clip mara tatu usipoelewa ujue kichwani una ukwaju
 
Nakubaliana nawe kuwa yule jamaa yupo bize na mic, siku hizi mtu anakufa watu wanapiga picha! lakini siku zote ukienda kwenye hii miziki ya dance live hizo za kubadili mic ni nyingi sana...mara zinafanya kazi au zinagoma...utawaona tu wanahangaika.
Ila pia cha muhimu ni uchunguzi wa dokta kwanza, huyo mweye mic mbona kushikwa ni rahisi sana sababu ameonekana na dunia nzima atasema nani kamtuma...
ila sumu au radiation ya kuua kwa gafla ni lazima ingeathiri wale waliomkaribia na hata huyo mbeba mic, trust me.
Ujue sumu ya kuvuta, sababu pale hakula au kulamba mic, kwahiyo sumu kaivuta kama hewa if that is the case, ambacho kingetokea angeanza kuhangaika kwa kukosa oxygen, sababu sumu ingestopisha upumuaji na ubongo kukosa oxygen,
Huyu kaanguka na kutulia hajahangaika kwa kukosa hewa...
Cha msingi tupo karne ya 21, ni dokta wa autopy ndie ataaminika baada ya kumchunguza, ikiwa ni sumu ndio huyo jamaa najua kashikwa tu. alete mic ichekiwe uchunguzi uendelee.
Nimependa unavyojenga hoja zako kisayansi zaidi. Ni rahisi kwa mtu wa kawaida kuamini kwamba Papa Wemba kauawa kupitia mic na akabaki aking'ang'ania hivyo bila kutumia sababu za kisayansi kuthibitisha hilo. Naamini majibu baada ya necropsy ndiyo yatasaidia kuweka wazi jambo hili.
 
Aisee ndugu Echililo nadhani humu wanaojibu hii mada kama vile wametoka usingizini au niwale ambao hawawezi kupanganua mambo ama vepee mtu umepewa link ukatazame we hutaki unataka mabishano sasa unaposema inatuhusu nini kisa jamaa mkongo ingekuwa hio ishu imetokea kwa msanii marufu hapo bongo wala msingesema hayo yote yoote hii nikwakua hamjaelewa ninimaana ya majadiliano mnatoa tu negative stuff wabongo bhanaa kwa kupenda ubishi nakujiona wao ndio wana akili zaidi ya wengine sasa kila mtu akitaka kuwa on top kutakuwa na maelewano hapo
Nasikitika sana jinsi watz wengi walivyo na akili finyu, na Mungu atusaidie tusipate maadui walizamiria kutuzuru(nakumbuka yule jamaa aliyesema anajua mpaka shuka za vitanda vyetu na vilivyo uvunguni),wala majanga, mada hii ni muhimu sana na inaonyesha ni jinsi gani adui anaweza kukuangamiza wewe, watoto wako, ndugu au rafiki, na hii inatufundisha kuwa makini na waangalifu ktk kila tunachokitumia na kwa viongozi na watu wenye pesa huwa wanakua na wafanyakazi wengi ni vyema kuwa na ulinzi na walinzi wenye kula amini ya kufa au kupona na wewe, ukiangalia mwisho utaona jinsi mtu anavyokwenda kuchukua mic na,anasogea na kuangalia nani anamuona,na anatoweka nayo, swali kipi cha muhimu kati ya mtu aliyeanguka na mic? pale kuna wacheza shoo wa kike na kiume ndio wa kwanza kufika(sababu wako karibu) yeye ni kundi la pili hasaidii anaondoka na chombo!!!!, kama hii haikufundishi kitu, kaangalie waliolipua bomu Boston,,au hawa wa Ubeligiji juzi,hii utajifunza jinsi ya kumtambua adui au mtu anayefanya kazi maalumu. Hii ni kwa faida yetu si kushindana kwa maneno ambayo hayana faida.
 
Tatizo humu hasa siku za karibuni kumekuwa na watu wasiopenda kutafakarisha bongo zao mtu akianzisha mada wanaandika shit kumu-attack mtoa mada na kutafuta likes zisizo na mpango bila wao kutoa hoja za msingi kwanini wanapinga.linakera sana jambo hili kama unaona huna hoja bora tu uwe msomaji.
 
Itabidi mtuzoee hivihivi wabongo hatupendi kupitwa.
Matumizi ya akili kwetu ni robo na ndio maana mtanzania anathimini nguo za nje kama suruali shati n.k kuliko za ndani kama chupi, boksa n.k
Hili linatufundisha nini.
Hatutaki kushughurisha akili zetu kwa kina,, ndio maana wengi tunapenda midifa tuuuu

Kama halikuhusu si unakaa kimyaaaa!!

Wengi wetu tunatumia hisia badala ya uharisia
 
Kama mtu ni mvivu wa kufikiri au unapenda mada za mapenzi tu, tafuta uelekeo, si busara kurusha madongo na kauli za ovyo kwa mtu aliyepost ambacho hata akina uhusiano na wewe. Grow up usgeze majibu ya member wengine yana mahala pake si kila sehemu

Hiii kitu nimeicheki na kuirudia
Inaleta maswali na doubts nyingi. Hapo ukianza kufatilia huyu aliekuwa anahangaika na mic alikotoka ,mawasiliano yake siku 3 kabla ya show, acount yake ya benki unaweza pata maswali mengine mengi.

Ila ngoja nione hiiii kitu inaendaje.
 
He was sick
 
Attachments

  • 1461999335357.jpg
    1461999335357.jpg
    53 KB · Views: 24
Papa wemba aliugua na kupelekwa ufaransa na akalazwa kwa matibabu mda mrefu sana. Alirudi kwao na wiki moja badae akaelekea kwenye hiyo shoo kifo kikamkuta. Uwezekano wa ugonjwa ni mkubwa.
Ni kweli mkuu huyo mzee hapo stage anaonekana kabisa anajitahidi tu lakini kiafya hayupo sawa, nakama kweli aliugua, ni lazima aliihitaji hii hela. siju wenzangu lakini mie naomuona hapo stagini ana struggle ku perform, and he is doing the best but at this very huge cost. Hiyo sio sumu...aliyeleta mic hawezi kufanya ujinga huo wakati akijua kuna camera kila angle...nakama sasa dunia nzima imemsha mtambua
 
Ni kweli aliugua na kulazwa mda mrefu. Bendi yake ilikosa dili na wanamuziki wake walikuwa hali mbaya kifedha kipindi cha ugonjwa wa Papa wemba. Katoka hospitali tu akapewa hiyo shoo na akaenda kupiga. Bado alikuwa mgonjwa.

Kutoa kipaza sauti sio ishu, watu wanapata ajali na badala ya kusaidiwa wanavuliwa mpk nguo, sembuse kubadilisha au kuondoa mic stejini?

Yule jamaa alisogeza mic na stend yake Kuongeza nafasi tu kwa watu wa huduma ya kwanza kufanya kazi.
 
Nyie mnaomponda mleta mada na kumuita mbea nyie ndo wambea zaidi yake maana mngenyamaza kimya mngeumia na nin wabongo kila kitu ni kupinga tu jamaa kaweka na clip kabisa kma ushahid watu mnapinga nna waswas simu zenu za elfu 40 hazifungui clip ndo maana mapovu yanawatoka
 
Wewe mpuuzi hapo nilikuwa nakujibu uliposema nimezaliwa juzi. Kaa chonjo. Sio wote humu ni watoto wa rika lako.
Ungekua mkubwa ungekua na busara na sio kumuita mwenzako mpuuzi ficha aibu yako wwe kinda la nyani
 
Nakubaliana Na wewe. Katika hizo video hakuna tukio la kubadilishwa mic isipokuwa inaonesha maiki ikiondolewa baada ya Papa wemba kuanguka. Na kutokana Na namna alivyoanguka Na wingi wa watu ilibidi iondolewe tu.
Acha kubweka tazama video vizur ya kwanza mike iliondolewa na kuletwa nyingine kabla jamaa hajaanza hata kuimba
 
Back
Top Bottom