Nakubaliana nawe kuwa yule jamaa yupo bize na mic, siku hizi mtu anakufa watu wanapiga picha! lakini siku zote ukienda kwenye hii miziki ya dance live hizo za kubadili mic ni nyingi sana...mara zinafanya kazi au zinagoma...utawaona tu wanahangaika.
Ila pia cha muhimu ni uchunguzi wa dokta kwanza, huyo mweye mic mbona kushikwa ni rahisi sana sababu ameonekana na dunia nzima atasema nani kamtuma...
ila sumu au radiation ya kuua kwa gafla ni lazima ingeathiri wale waliomkaribia na hata huyo mbeba mic, trust me.
Ujue sumu ya kuvuta, sababu pale hakula au kulamba mic, kwahiyo sumu kaivuta kama hewa if that is the case, ambacho kingetokea angeanza kuhangaika kwa kukosa oxygen, sababu sumu ingestopisha upumuaji na ubongo kukosa oxygen,
Huyu kaanguka na kutulia hajahangaika kwa kukosa hewa...
Cha msingi tupo karne ya 21, ni dokta wa autopy ndie ataaminika baada ya kumchunguza, ikiwa ni sumu ndio huyo jamaa najua kashikwa tu. alete mic ichekiwe uchunguzi uendelee.