Lakini jamaa huyu si alikuwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu, actually alilazwa hospitalini kwa wiki moja kutokana na tatizo la moyo, Daktari wake alimshauri apumzuke kwa mwezi+ lakini yeye kapuuzia ushauri na kwenda kwenye tamasha kabla hali yake haijatengamaa vizuri.
Mshindo mkubwa wa sauti ya gitaa la besi ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya moyo hasa hasa kama ujapumzika vizuri baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini, resonance frequency ya moyo wako au mapafu yako yaki shabiana/lingana/fanana na frequencies zinazo tokana na mshindo mkubwa wa sauti ya gita la besi basi moyo unatingisika kwa kufuatia sauti ya besi hii inaweza kukusabishia heart attack ukapoteza maisha, hicho ndicho kilicho tokea kwa Papa Wemba - haya mambo ya kusema kawekewa sumu kwenye mike hayana ukweli wowote.[/QUOTE
Lakini jamaa huyu si alikuwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu, actually alilazwa hospitalini kwa wiki moja kutokana na tatizo la moyo, Daktari wake alimshauri apumzuke kwa mwezi+ lakini yeye kapuuzia ushauri na kwenda kwenye tamasha kabla hali yake haijatengamaa vizuri.
Mshindo mkubwa wa sauti ya gitaa la besi ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya moyo hasa hasa kama ujapumzika vizuri baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini, resonance frequency ya moyo wako au mapafu yako yaki shabiana/lingana/fanana na frequencies zinazo tokana na mshindo mkubwa wa sauti ya gita la besi basi moyo unatingisika kwa kufuatia sauti ya besi hii inaweza kukusabishia heart attack ukapoteza maisha, hicho ndicho kilicho tokea kwa Papa Wemba - haya mambo ya kusema kawekewa sumu kwenye mike hayana ukweli wowote.
Uko sawa PW alienda kupeform akitokea Congo,hali yake haikuwa nzuri kabisa na wataalam wasingemruhusu km ingakua ni France ama ughaibuni.
ubishi wetu waswaz na kujali sana mitishamba unatuponza sometime,kiukweli kabisa hakutakiwa hata awepo maeneo hayo,ukiskiliza akiimba pia utaona sauti inavyotetemeka na haiko sawa,kuna mahali imebidi akatishe verse ili sebene lipigwe.na sebene linaanza ndipo akaanguka.huyo mbadilisha mike ye anahangaika kurekebisha mike amuokoe bosi wake kuficha soo.PW hakutakiwa kuimba pale siku hiyo,alikua mgonjwa hoi kalazimisha tu.