InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
#wanyamaWetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua Sana !sema hao ndio ndugu zetu KWA Hali na mali!!ni kawaida kwa wanzanzibar wenye asili ya pemba kuwa na unasaba wa kindungu na waarabu wa oman.
hata marehemu jiwe anadaiwa alikuwa na unasaba na wahutu wa burundi, mkapa na wamakonde wa msumbiji.
lakini pia nyerere wanasema naye alikuwa na ndg zake kati ya rwanda na burundi.
NonsenseHabarini
Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?
Maana enzi za awamu ya mzee ruksa mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni.
Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879
MKUU
Pole
Kumbe we muarabu!!?
Uzao wa nyoka ni nyoka tu Mkuu
Hauwezi ukawa wa njiwa!!
Hata sasa ndugu zako BADO wanaubaguzi sana Hadi leo!
Nilikuwa nakuchukulia mtu smart unavyotoa madini kwenye uzi wa Yoga kumbe umefika kiwango hiki cha ujinga?Mkuu
Tetesi
Kuwa mama atoka kwenye kiuno cha ruksa na pia mama yake mama ni muoman!!pia Dada yake mama yaani Mtoto wa Mzee ruksa kaolewa huko KWA mwanamfalme wa uarabuni!!!ni ukoo mkubwa Sana tu kwakweli kama tetesi ni za kweli!!
Ni ndugu zake katika imaan ya mnyaazi mmungu
Habarini
Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?
Maana enzi za awamu ya mzee ruksa mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni.
Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879
Shangazi ni baba.Mjomba ni mama
Vipi King Leopard wa ubeligiji umesomea historia alifanya nini Kongo DRC ?We
Husikii
Mabinti wa kazi wanaoenda huko wananyanyaswa hata kuipoteza uhai!!?
Uongo!!?hata passport zao hunyang'anywa!!?
Hao jamaa Sio wa kuw achukulia poa!
Uongo!!?
Nina marafiki type hiyo lakini sishoboki kihivyo coz nawapata!!
MKUURoho ya kimasikini inakusumbua I am and I am proud
Sina uarabu wala wajomba waarabu ila sio mbaguzi pia kama wewe
Una akili mbovu sana na ubaguzi wa kijinga sana
Utakuta asubuhi anaekununulia chai ni mwarabu na ukiwa na dhiki zako na njaa unaenda kuwaomba hao hao na hapa unajifanya kuwakandia
Watu kama nyie tunawajua mna ndimi mbili za kinafiki
Inaonekana wewe ni mwanamke mwenye wivu sana na hao waarabu au umepigwa buti na mmoja wao
Bado umedumaa spastic
Mungu ibariki Jf.Habarini
Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?
Maana enzi za awamu ya mzee ruksa mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni.
Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879
Wewe tafadhari sana ujue !Mkuu
Tetesi
Kuwa mama atoka kwenye kiuno cha ruksa na pia mama yake mama ni muoman!!pia Dada yake mama yaani Mtoto wa Mzee ruksa kaolewa huko KWA mwanamfalme wa uarabuni!!!ni ukoo mkubwa Sana tu kwakweli kama tetesi ni za kweli!!
Mbona Wazilankende wana mahusiano na warundi na hatukutia neno? Jifunze uhimilivu kama deni la TaifaHabarini
Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?
Maana enzi za awamu ya mzee ruksa mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni.
Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879
Wakati viongozi wa kiafrica wKipishana kwenda kuombaomba na kugawa rasilimali Taifa free of charge ,BBC eye imetoa investigation jinsi hawa wa asia wanavyotuona wanajichimbia kufanya documentary za watu wetu hasa watoto na kufanya kila aina ya ufirauni .Kitu muhimu kwa nyakati hizi ni kuwafundisha watu wetu kuishi kwa akili. Waafrika waishi kiafrika wakijilinda, waarabu, wahindi na wazungu vivyo hivyo.
Jamii zimeingiliana , zimezaliana na hivyo watoto, wajukuu na vitukuu hawana shida yoyote.
Watu wetu waishi kwa utayari wa ushindani na kutumia akili za kawaida kulinda taifa letu.
Kelele na maandishi ya kipropaganda ni zilipendwa. Tupambane katika hali halisi. Uwezo wa kumshinda yeyote duniani tunao.
Haya yote ya ubaguzi wa wazi ni woga unatokana na fikra za kizamani.
Tetesi tu tena za HUMU jamvini tu!!Wewe tafadhari sana ujue !
MKUU
Umepaniki Sana!
Povu lote la nini!!?
Hayo ni maoni kama maoni mengine jukwaani!!
Kwani lazima tuwaze sawa!!?
Kutofautiana ndio ubinadamu!!
Ulitaka vichwa vifanane!!?
Humu ndio jf sio lazima wote tuwe sawa!!
Huyo mfalme,ni mtanzania mwenzetuHabarini