Ni kweli Simba wanakamiwa sana kwenye ligi tofauti na timu nyingine?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wakuu naomba tuchambue jambo hili limekuwa linaongelewa sana kwenye media

Ni Kwamba inasemekana Simba tu ndio hukutana na upinzani mkubwa kwenye ligi..... tofauti na timu zingine kama Yanga na Azam.....hii Ina maanisha kuwa. ....Simba ni rahisi kupata ushindi mechi za kimataifa lkn sio mechi za NBC premier league

Mtazamo wangu kama mchambuzi
Nadhalia hii ni dhahania (idealistic) Kwani haya malalamiko yanatokea tu pale Simba ikifanya vibaya ......(ii) Mpira ni mchezo wa wazi Kila mtu anaona Nini kinaendela hivyo hakuna ushindi (!!!) Simba walisema wanajenga timu ....so kujenga timu ni process... it's not a one night stand

Je ni kweli Simba wanakamiwa sana NBC premier league....if yes weka ushahidi ....if no weka ushahidi

Nakala iwafikie
Kalpana
Tate Mkuu
Mshana Jr
Isanga family
Proved
IMG-20250206-WA0004.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Proved View attachment 3228864

Ufatilii mpira Simba kacheza mwanza na singida na mechi zote limewekwa dau ili wamfunge Simba kwanini timu hizo hizo zilipocheza na yangu hawakuwekewa dau?. Alafu unasema nadharia Kuna nadharia gani hapo?
 
Nadhani hakuna timu underdog bongo isiyokamia Yanga au kolowizard, maana ni sehemu ya wachezaji kujiuza, tatizo ni kiwango, Mbeleko Simba fc uwezo wake ni mdogo , quality ya timu ni ya kawaida sana kwahiyo timu ndogo zikikaza zinamudu kupishana nayo, inaonekana zinakamia kumbe mzani unabalance tu, kiufupi simba ina jina kubwa ila uwezo wake ni sawa na timu zingine za ligi, sasa underdogs wakikomaa kukabia juu inaonekana wamekamia kumbe uwezo wao na simba ni sawa na tunaona mchezo mkali ambao marefa tu ndio huharibu balance kwa kupendelea mbeleko fc. Timu yoyote ndogo ikakaza Simba inapasuka vizuri tu kama refa hajapokea muamala!

Timu hizo hizo ndogo zikicheza na Yanga mlima unakuwa mrefu sana too much quality and talents za Pacome, Ki Aziz na Max zinaua ukamiaji maana hawakabiki na tunaona mpira ni mchezo rahisi.

Hakuna cha kukamia mpira ni mchezo wa wazi, quality inaonekana kwa macho, hata timu ikamie Yanga inafungwa kwa kuzidiwa uwezo, muulizeni Mauya lile goli la Dube ilikuwaje!!
 
Wakuu naomba tuchambue jambo hili limekuwa linaongelewa sana kwenye media

Ni Kwamba inasemekana Simba tu ndio hukutana na upinzani mkubwa kwenye ligi..... tofauti na timu zingine kama Yanga na Azam.....hii Ina maanisha kuwa. ....Simba ni rahisi kupata ushindi mechi za kimataifa lkn sio mechi za NBC premier league

Mtazamo wangu kama mchambuzi
Nadhalia hii ni dhahania (idealistic) Kwani haya malalamiko yanatokea tu pale Simba ikifanya vibaya ......(ii) Mpira ni mchezo wa wazi Kila mtu anaona Nini kinaendela hivyo hakuna ushindi (!!!) Simba walisema wanajenga timu ....so kujenga timu ni process... it's not a one night stand

Je ni kweli Simba wanakamiwa sana NBC premier league....if yes weka ushahidi ....if no weka ushahidi

Nakala iwafikie
Kalpana
Tate Mkuu
Mshana Jr
Isanga family
Proved View attachment 3228864

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hiyo timu inabebwa tu na waamuzi. Hakuna timu inayoikamia Sheikh.
 
Ufatilii mpira Simba kacheza mwanza na singida na mechi zote limewekwa dau ili wamfunge Simba kwanini timu hizo hizo zilipocheza na yangu hawakuwekewa dau?. Alafu unasema nadharia Kuna nadharia gani hapo?
Mtani bado hujui mpira, kila timu huwekewa bonasi na uongozi wao kwa ushindi au droo kwa mechi yoyote ya ligi, na dau huwa kubwa kwenye mechi kubwa maana ni ngumu kupata points! Hivyo mechi kubwa lazima wakomae sana wapige pesa za ada ya watoto!!

Halafu mawazo kama hayo ndio huipa ubingwa Yanga maana simba mnawaza mambo yasiyokuwepo na kujipa presha za bure mnazohamishia kwa wachezaji wenu uwanjani, Yanga inashinda mechi zake nanyinyi shindeni za kwenu acheni kulia lia.

Tukutane kwa Mkapa 8/3
 
Mtani bado hujui mpira, kila timu huwekewa bonasi na uongozi wao kwa ushindi au droo kwa mechi yoyote ya ligi, na dau huwa kubwa kwenye mechi kubwa maana ni ngumu kupata points! Hivyo mechi kubwa lazima wakomae sana wapige pesa za ada ya watoto!!

Halafu mawazo kama hayo ndio huipa ubingwa Yanga maana simba mnawaza mambo yasiyokuwepo na kujipa presha za bure zinazohamia uwanjani

Tukutane 8/3
Kumbe umekaa kishabiki kuliko ukweli wa wazi. Big star waliocheza na yanga waliahidiwa nini?. Pamba waliahidiwa nini walipocheza na yanga?. Mbona walipocheza na Simba ahadi ziliwekwa wazi. Mwingulu ahidi kufungwa yanga na atoe fungu?. Acha ushabiki maandazi.
 
Wakuu naomba tuchambue jambo hili limekuwa linaongelewa sana kwenye media

Ni Kwamba inasemekana Simba tu ndio hukutana na upinzani mkubwa kwenye ligi..... tofauti na timu zingine kama Yanga na Azam.....hii Ina maanisha kuwa. ....Simba ni rahisi kupata ushindi mechi za kimataifa lkn sio mechi za NBC premier league

Mtazamo wangu kama mchambuzi
Nadhalia hii ni dhahania (idealistic) Kwani haya malalamiko yanatokea tu pale Simba ikifanya vibaya ......(ii) Mpira ni mchezo wa wazi Kila mtu anaona Nini kinaendela hivyo hakuna ushindi (!!!) Simba walisema wanajenga timu ....so kujenga timu ni process... it's not a one night stand

Je ni kweli Simba wanakamiwa sana NBC premier league....if yes weka ushahidi ....if no weka ushahidi

Nakala iwafikie
Kalpana
Tate Mkuu
Mshana Jr
Isanga family
Proved View attachment 3228864

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ujumbe mkuu umefika nao ni hii PICHA ya huzuni na mshangao ya semaji la CAF
 
Kwa maana hyo Simba wanasingizia

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hilo hakuna ubishi kwamba nyuma mwiko wanawalipa au kuweka ahadi ya pesa Kwa timu zinaczocheza na Simba.

Na wao pia wanatoa BAHASHA kuhakikisha timu pinzani wanazocheza nazo wanafungwa tena goal zaidi ya 5
Na kuwatengenezea wachezaji wao record za mchongo mfano ufungaji bora nk.

Ubora wa ukwl wa Simba na yanga upo kwenye mechi za kimataifa.

Pia nyuma mwiko watahakikisha kucheza mechi za Simba kimataifa nje ya uwanja na uwanjani ili Simba isiifikie record ya yanga shirikisho..

Amini maneno yangu kwamba Simba asipokuwa makini atajikuta anapoteza mechi zote za shirikisho na ubingwa asahau.
 
Back
Top Bottom