Nadhani hakuna timu underdog bongo isiyokamia Yanga au kolowizard, maana ni sehemu ya wachezaji kujiuza, tatizo ni kiwango, Mbeleko Simba fc uwezo wake ni mdogo , quality ya timu ni ya kawaida sana kwahiyo timu ndogo zikikaza zinamudu kupishana nayo, inaonekana zinakamia kumbe mzani unabalance tu, kiufupi simba ina jina kubwa ila uwezo wake ni sawa na timu zingine za ligi, sasa underdogs wakikomaa kukabia juu inaonekana wamekamia kumbe uwezo wao na simba ni sawa na tunaona mchezo mkali ambao marefa tu ndio huharibu balance kwa kupendelea mbeleko fc. Timu yoyote ndogo ikakaza Simba inapasuka vizuri tu kama refa hajapokea muamala!
Timu hizo hizo ndogo zikicheza na Yanga mlima unakuwa mrefu sana too much quality and talents za Pacome, Ki Aziz na Max zinaua ukamiaji maana hawakabiki na tunaona mpira ni mchezo rahisi.
Hakuna cha kukamia mpira ni mchezo wa wazi, quality inaonekana kwa macho, hata timu ikamie Yanga inafungwa kwa kuzidiwa uwezo, muulizeni Mauya lile goli la Dube ilikuwaje!!