Ni kweli Simba wanakamiwa sana kwenye ligi tofauti na timu nyingine?

Ni kweli Simba wanakamiwa sana kwenye ligi tofauti na timu nyingine?

Wakuu naomba tuchambue jambo hili limekuwa linaongelewa sana kwenye media

Ni Kwamba inasemekana Simba tu ndio hukutana na upinzani mkubwa kwenye ligi..... tofauti na timu zingine kama Yanga na Azam.....hii Ina maanisha kuwa. ....Simba ni rahisi kupata ushindi mechi za kimataifa lkn sio mechi za NBC premier league

Mtazamo wangu kama mchambuzi
Nadhalia hii ni dhahania (idealistic) Kwani haya malalamiko yanatokea tu pale Simba ikifanya vibaya ......(ii) Mpira ni mchezo wa wazi Kila mtu anaona Nini kinaendela hivyo hakuna ushindi (!!!) Simba walisema wanajenga timu ....so kujenga timu ni process... it's not a one night stand

Je ni kweli Simba wanakamiwa sana NBC premier league....if yes weka ushahidi ....if no weka ushahidi

Nakala iwafikie
Kalpana
Tate Mkuu
Mshana Jr
Isanga family
Proved View attachment 3228864

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Timu zote kubwa I mean Simba na Yanga sikicheza na timu ndogo lazima hizo timu ndogo zijiandae sana na zikamie mtanange
 
Wivu na chuki ni hatua anazopitia mwanadamu kabla ya kuwa mchawi.

Uto Kwa Sasa sio watani wa jadi tena bali ni adui mkubwa wa Simba.
Uto hataki Simba afikie record yake kimataifa.
Hapana mkuu...usiwe judge Kwa vitu hivyo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yaani kiongozi aweke day kuifunga Simba anapata faida gn?

Mbona wakicheza na timu zingine haiwekwi hata mbuni?
Nyuma mwiko mnajitahidi sana kujificha kwenye kichaka Cha timu zingine lakini mwiko nyuma unaonekana..
Yaani timu ipewe milioni 100 iifunge Simba,,
lakini timu hiyo hiyo ikicheza na yanga au timu zingine hatusikii ahadi zozote zinazowekwa
Labda wanaweka kisiri siri

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Anayebebwa na marefa na anayetumia bahasha kupata ushindi ameshaondolewa kimataifa CAF./CAFCC.

Hizo kelele za marefa zinapigwa na nyuma mwiko ili kuitoa Simba mchezoni.
Mwandende unaferi wapi tunazungumzia marefa kuzibeba hizi timu zetu pendwa umekuja kwenye CAF ndio mpira huo Timu haiwezi kufanya vizuri miaka yote hata hao Bayern na Barc wanayumba sema mpira inatakiwa uujie kweli ili uuzungumzie sio unarukaruka tu bila hoja.
 
Mwandende unaferi wapi tunazungumzia marefa kuzibeba hizi timu zetu pendws umekuja kwenye CAF ndio mpira huo Timu haiwezi kufanya vizuri miaka yote hata hao Bayern na Barc wanayumba sema mpira inatakiwa uujie kweli ili uuzungumzie sio unarukaruka tu bila hoja.
Hizi kelele za marefa zimeasisiwa na nani kama sio Uto?
Wao ndy wanapaza sauti kwamba Simba anabebwa,

Sasa anayebebwa yupo quarter final ya CAFCC na yule anayejitapa anacheza Kwa uwezo wake ameishia makundi. CAF
Hakuna asiyejuwa kwamba ushindi wa Uto ni BAHASHA..

Ukwl lazima usemwe.
 
Wakuu naomba tuchambue jambo hili limekuwa linaongelewa sana kwenye media

Ni Kwamba inasemekana Simba tu ndio hukutana na upinzani mkubwa kwenye ligi..... tofauti na timu zingine kama Yanga na Azam.....hii Ina maanisha kuwa. ....Simba ni rahisi kupata ushindi mechi za kimataifa lkn sio mechi za NBC premier league

Mtazamo wangu kama mchambuzi
Nadhalia hii ni dhahania (idealistic) Kwani haya malalamiko yanatokea tu pale Simba ikifanya vibaya ......(ii) Mpira ni mchezo wa wazi Kila mtu anaona Nini kinaendela hivyo hakuna ushindi (!!!) Simba walisema wanajenga timu ....so kujenga timu ni process... it's not a one night stand

Je ni kweli Simba wanakamiwa sana NBC premier league....if yes weka ushahidi ....if no weka ushahidi

Nakala iwafikie
Kalpana
Tate Mkuu
Mshana Jr
Isanga family
Proved View attachment 3228864

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Toa alama ya kuuliza inakuwa jibu.
 
Hilo hakuna ubishi kwamba nyuma mwiko wanawalipa au kuweka ahadi ya pesa Kwa timu zinaczocheza na Simba.

Na wao pia wanatoa BAHASHA kuhakikisha timu pinzani wanazocheza nazo wanafungwa tena goal zaidi ya 5
Na kuwatengenezea wachezaji wao record za mchongo mfano ufungaji bora nk.

Ubora wa ukwl wa Simba na yanga upo kwenye mechi za kimataifa.

Pia nyuma mwiko watahakikisha kucheza mechi za Simba kimataifa nje ya uwanja na uwanjani ili Simba isiifikie record ya yanga shirikisho..

Amini maneno yangu kwamba Simba asipokuwa makini atajikuta anapoteza mechi zote za shirikisho na ubingwa asahau.
Ndio maana hata sisi walitufyatua Kono la nyani sababu walitupa chochote kitu
 
Mkiacha propaganda na roho mbaya Simba inawazidi parefu sana
 
Mwalimu rama alisema ametolewa Caf champions league kwasababu league kuu hapati ushindani na ni kweli mechi za yanga mabanda hayajai kama mechi za simba kwasababu yanga haina mvuto wapinzani hawakazi kama wakikutana na simba nenda YouTube angalia highlights za magoli yao utaelewa.
 
Back
Top Bottom