Ni kweli Simba wanakamiwa sana kwenye ligi tofauti na timu nyingine?

Hakuna kitu kama hicho mkuu Timu zinacheza vizuri tu na zimekua bora sema marefa mara nyingi wanakua upande wa hizi Timu zetu kubwa hata tuta litatoka kirahisi huku kuliko kwenye Timu ndogo ikipata tuta..
Mkuu... Ushari wako Kwa Simba ni upi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ulishawahi kusikia timu pinzani na Yanga wanawekewa pesa ili waifunge Yanga?
Kama uliwahi kusikia sema humu ni timu gani ?
Simba wapinzani walikuwa wanasema hadharani, ila juzi waliweka siri.
Na ni kwanini iwe kwa Simba tu ?
Lkn sio Yanga wanaoweka dau ....ni viongozi wa timu husika

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Lkn sio Yanga wanaoweka dau ....ni viongozi wa timu husika

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mbona hao viongozi wa timu husika hawaweki dau wakati wa kucheza na Yanga?
Ndio tunaamini kuwa viongozi na wadau wa Yanga ndio wanaoweka hizo dau.
Kuanzia leo Simba kila mechi tunajua tunacheza na Yanga.

Yanga wanachukua ubingwa kwa mbini nyingi za nje ya uwanja.
Na wanawatumia hadi wachezaji wa Simba.
Kama
Chama
Baleke
Kijiri
Muhamedi Kazi
Chasambi
Balake Simba tunafungwa 5 mwisho wa mechi anaenda kushangilia na wachezaji wa Yanga huku Shabalala na Kapombe wanalia.
Video zipo.
Video za Sindano zipo na hawajafafanua hadi leo zaidi ya kuuhama uwanja.

Simba wanatakiwa kuhama kwenye uwanja wa KMC.
La sivyo ubingwa watausikia Redioni.
Simba twendeni uwanja wa Azamu mapema sana.
Tukibaki KMC hata ubingwa wa pili hatuta upata.
Nawasilisha
 
Ubingwa ni habari ingine, sidhani kama lile la kufunga goli dkk za refa litajirudia maana dunia nzima iliona zile vurugu, kolo kamaliza mwendo robo fainali
Simba ni habari ingine mkuu,,kinachofanyika ni nyuma mwiko kufanya fitna na figisu ili Simba asiende .nusu fainali.
Kwa Sasa Uto sio mtani wa jadi tena bali ni adui na mchawi mkubwa wa maendeleo ya soka Kwa mnyama.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu Timu zinacheza vizuri tu na zimekua bora sema marefa mara nyingi wanakua upande wa hizi Timu zetu kubwa hata tuta litatoka kirahisi huku kuliko kwenye Timu ndogo ikipata tuta..
Anayebebwa na marefa na anayetumia bahasha kupata ushindi ameshaondolewa kimataifa CAF./CAFCC.

Hizo kelele za marefa zinapigwa na nyuma mwiko ili kuitoa Simba mchezoni.
 
Lakini wanaoweka dau sio Yanga .....ni viongozi wa timu husika

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yaani kiongozi aweke dau kuifunga Simba anapata faida gn?

Mbona wakicheza na timu zingine haiwekwi hata mbuni?
Nyuma mwiko mnajitahidi sana kujificha kwenye kichaka Cha timu zingine lakini mwiko nyuma unaonekana..
Yaani timu ipewe milioni 100 iifunge Simba,,
lakini timu hiyo hiyo ikicheza na yanga au timu zingine hatusikii ahadi zozote zinazowekwa
 
Mbona hao viongozi wa timu husika hawaweki dau wakati wa kucheza na Yanga?
Ndio tunaamini kuwa viongozi na wadau wa Yanga ndio wanaoweka hizo dau.
Kuanzia leo Simba kila mechi tunajua tunacheza na Yanga.

Yanga wanachukua ubingwa kwa mbini nyingi za nje ya uwanja.
Na wanawatumia hadi wachezaji wa Simba.
Kama
Chama
Baleke
Kijiri
Muhamedi Kazi
Chasambi
Balake Simba tunafungwa 5 mwisho wa mechi anaenda kushangilia na wachezaji wa Yanga huku Shabalala na Kapombe wanalia.
Video zipo.
Video za Sindano zipo na hawajafafanua hadi leo zaidi ya kuuhama uwanja.

Simba wanatakiwa kuhama kwenye uwanja wa KMC.
La sivyo ubingwa watausikia Redioni.
Simba twendeni uwanja wa Azamu mapema sana.
Tukibaki KMC hata ubingwa wa pili hatuta upata.
Nawasilisha
Suala la uwanja...kina impact vp matokeo?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Simba ni habari ingine mkuu,,kinachofanyika ni nyuma mwiko kufanya fitna na figisu ili Simba asiende .nusu fainali.
Kwa Sasa Uto sio mtani wa jadi tena bali ni adui na mchawi mkubwa wa maendeleo ya soka Kwa mnyama.
[emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom