Ni kweli Simba wanakamiwa sana kwenye ligi tofauti na timu nyingine?

Fear for unknown
 
Ufatilii mpira Simba kacheza mwanza na singida na mechi zote limewekwa dau ili wamfunge Simba kwanini timu hizo hizo zilipocheza na yangu hawakuwekewa dau?. Alafu unasema nadharia Kuna nadharia gani hapo?
Lakini wanaoweka dau sio Yanga .....ni viongozi wa timu husika

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Lkn mbna walisema Yanga Ina wachezaji wazee.......huku Simba ikiwa na damu changa .....???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
MKuu unahisi Kwann Yanga apoteze energy kubwa kisa hayo mambo ya hovyo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
MKuu unahisi Kwann Yanga apoteze energy kubwa kisa hayo mambo ya hovyo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ufatilii mpira Simba kacheza mwanza na singida na mechi zote limewekwa dau ili wamfunge Simba kwanini timu hizo hizo zilipocheza na yangu hawakuwekewa dau?. Alafu unasema nadharia Kuna nadharia gani hapo?
Hata hiyo mechi ya Fountain kulikuwa na dau kutoka kwa RC wa Manyara.
 
Naomba uniache kwanza..
 
Ubingwa ni habari ingine, sidhani kama lile la kufunga goli dkk za refa litajirudia maana dunia nzima iliona zile vurugu, kolo kamaliza mwendo robo fainali
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu Timu zinacheza vizuri tu na zimekua bora sema marefa mara nyingi wanakua upande wa hizi Timu zetu kubwa hata tuta litatoka kirahisi huku kuliko kwenye Timu ndogo ikipata tuta..
 
Na sisi wana Simba hatulalamiki kukamiwa na vitimu vidogo,waendelee kufanya hivyo maana ndio wanaimarisha timu yetu.
Wale wanaoahidiwa mamilioni na hawana uwezo ndio wanaishiaga kucheza rafu mbaya tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ulishawahi kusikia timu pinzani na Yanga wanawekewa pesa ili waifunge Yanga?
Kama uliwahi kusikia sema humu ni timu gani ?
Simba wapinzani walikuwa wanasema hadharani, ila juzi waliweka siri.
Na ni kwanini iwe kwa Simba tu ?
 
Lkn mbna walisema Yanga Ina wachezaji wazee.......huku Simba ikiwa na damu changa .....???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hilo lina ukweli na wala halina kificho. Ndiyo Maana timu yenye wachezaji wazee imeshindwa kuvuka hata hatua ya makundi kwenye mashindano ya CAF huku ile yenye wachezaji vijana ikitinga robofainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…