Ni kweli Simba wanakamiwa sana kwenye ligi tofauti na timu nyingine?

Timu zote kubwa I mean Simba na Yanga sikicheza na timu ndogo lazima hizo timu ndogo zijiandae sana na zikamie mtanange
 
Wivu na chuki ni hatua anazopitia mwanadamu kabla ya kuwa mchawi.

Uto Kwa Sasa sio watani wa jadi tena bali ni adui mkubwa wa Simba.
Uto hataki Simba afikie record yake kimataifa.
Hapana mkuu...usiwe judge Kwa vitu hivyo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Labda wanaweka kisiri siri

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Anayebebwa na marefa na anayetumia bahasha kupata ushindi ameshaondolewa kimataifa CAF./CAFCC.

Hizo kelele za marefa zinapigwa na nyuma mwiko ili kuitoa Simba mchezoni.
Mwandende unaferi wapi tunazungumzia marefa kuzibeba hizi timu zetu pendwa umekuja kwenye CAF ndio mpira huo Timu haiwezi kufanya vizuri miaka yote hata hao Bayern na Barc wanayumba sema mpira inatakiwa uujie kweli ili uuzungumzie sio unarukaruka tu bila hoja.
 
Hizi kelele za marefa zimeasisiwa na nani kama sio Uto?
Wao ndy wanapaza sauti kwamba Simba anabebwa,

Sasa anayebebwa yupo quarter final ya CAFCC na yule anayejitapa anacheza Kwa uwezo wake ameishia makundi. CAF
Hakuna asiyejuwa kwamba ushindi wa Uto ni BAHASHA..

Ukwl lazima usemwe.
 
Toa alama ya kuuliza inakuwa jibu.
 
Ndio maana hata sisi walitufyatua Kono la nyani sababu walitupa chochote kitu
 
Mkiacha propaganda na roho mbaya Simba inawazidi parefu sana
 
Mwalimu rama alisema ametolewa Caf champions league kwasababu league kuu hapati ushindani na ni kweli mechi za yanga mabanda hayajai kama mechi za simba kwasababu yanga haina mvuto wapinzani hawakazi kama wakikutana na simba nenda YouTube angalia highlights za magoli yao utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…