Ni kweli Tanga ndipo mapenzi yalipozaliwa au tunapigwa?

unanihakikishia sitojuta nkienda huko mkuu?
 
😳
 
Mkikutana na mabinti wa Tanga haswa conc ,hapa mkafinyiwa ndani....mtanena kwa lugha kuyahubiria na kuyafikia mataifa kwamba Tanga ni kitovu cha Mapenzi...hao watanga wengine mnaokutana ni watanga diluted😅😅😅😂
 
Mkikutana na mabinti wa Tanga haswa conc ,hapa mkafinyiwa ndani....mtanena kwa lugha kuyahubiria na kuyafikia mataifa kwamba Tanga ni kitovu cha Mapenzi...hao watanga wengine mnaokutana ni watanga diluted[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
Ngoja waje wale waliokutana nao waseme,maana wengi wanasema hamna maajabu yoyote[emoji3]
 
Hahaha eti za uswazi zipo kinyonge...hamna bana mkuu demu unambadilisha wewe vile unataka...me Nina pc flan japo ya kienyeji nimeitoa shamba Haina gharama isipokuwa TU nataka ipendeze so Niko katika hio process endelevu ya kukapendezesha...
Nakubali ndege john
 
mapya yapo.
watoto wengi wa kitanga wa Sasa hivi wameharibiwa na utandawazi.
Sio Kama mama zao walivyokuwa
Watu wa bara hao wakija huku pwani wanalowea ila tulozoea haya mambo hatuoni jipya huko Tanga.
 
...Huko wanawake wanakatika viuno Feni inasubiri,na ukiwa mzembe kitandani wnakuaibisha.... mtoa mada hajauliza kama TANGA NDO VIUNO VILIKOZALIWA.... ameuliza TANGA NDO MAPENZI yalikozaliwa? Viuno hata TWANGAPEPETA wanakata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…