Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?





Kufahamiana kupo hasa kwa watu mliopiga camp pamoja ila kimajukumu kila mmoja kimpango wake labda iwe kwa watu kwenye Task moja! Over
 
Wapo ktk mfumo wa bata na vifaranga vyake ktk msafara,hakuna kugeuka kumjua mwenzako
 
mkuu alikupa kazi gani hyo ambayo hukujua kama unatumika?
 
Ulimfanyaje mkuu?natamani ningeshuhudia huo mtanange
 
mkuu hapa nimekuelewa vizur.
Ndio maana mimi huwa naacha kazi mara kwa mara na kupata kazi sehemu nyingine rafiki zangu huwa wananiogopa na kudhani labda mimi ni informer,kumbe ni lifestyle yangu tu.
 
Kwataarifa yako sasa Mkomavu ni mjeshi aliyepitia mafunzo ya juu na ameiva.Sasa wewe jichanganye,pia anakula mshahara mrefu kuliko hata wewe huko Tisi unalia njaa na kazi yako ya kimbea.
Hahahaaaaaaa
 

Hamna Bhana Acha kutisha watu. Ukitaka ku enjoy Usalama au Jeshi uwe umesoma.

Kwa sasa ni kazi nzuri sana kwasababu unakuwa very much controlled kwa muktadha wa Information. Information is Power , so unajua ile Portion ndogo sana ya Information, na unaweza kufukuzwa kaz kama watumishi wengine ikiwa unakiuka madili ya Usalama.

Zamani ndio ilikuwa tabu , yaani mtu mmoja ana portion nyingi sana za Information kiasi kwamba ukiwa suspect , kifo ndio Jawabu lako.

Ungejua hakuna watu wanaokula National Cake bila kufanya kazi yoyote ngumu ni Usalama. Na kwa sasa wakizingua wanafukuzwa kazi na hata kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria.

Halafu pia tambua kwamba kuwa usalama sio Usnitch wala uadui, ni KAZI , kwa mfano wapo Usalama kazi yao ni kutibu, Ujenzi, ushonaji, injinia, yaani kila mtu fani yake, wengine Finance kazi yao ni kudadavua mahesabu, wengine kazi yao ni kutype barua za serikali, ....

Wacha watu wachague fani zao.

Leo nikikuambia Kitila Mkumbo ni Usalama utakubali ? Na alikuwa ni Mshauri wa Act Wazalendo, nikikuambia Slaa ni Usalama since day one akiwa Chadema utakubali ? Hawa wote ni Critical thinkers na ni wasomi ! Wanakula national cake tu ! Kama unadhani haya mambo yanatokea kwa Bahati mbaya baki hivo hivo.
 
una madini ila hiyo natonal cake hueleweki ni ile ya ngungi wa thio?? mshahara?? au vyeo na sifa?? au rasimali kama adini na rupia
 

Usalama unaemzungumzia wewe, sio hawa vijana wa sasa. Ni wale wa enzi za mkapa rudi nyuma.

Msalimie G
 
Wanajuana ,wanaishi kama watu walosoma course moja ,tunakunywa na bia kwenye vile vikao vyetu vya jion bt wana kitu flan tofauti...bt al in all nnachojua mim mfanyakaz mwenzako ofisi moja hatakiwi kua rafiki yako.
 
TISS wa JF
1.....levi...
2. Mk.....
3. Taa...pya
4. Fu...sa..bao

Wengine nimewasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…