Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Hujaeleweka , rudia kusoma tena ,mara ulikuwa unatumika bila kujijua,mara ulikuwa unajua unatumika .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya Nyuma enzi za mwalimu kulikuwa na Recruited asset wengi wanakuwa ni ma informer tuu. Lakini wengine huwa wanajimwambafy sana ndio hao wanaopiga kelele bar.

Wenyewe ni wapole na unaweza kuishi nae nyumba moja usinfahamu miaka hata milele. Sign moja ya haijifichi huwa hawakosi ajira. Utasikia leo yuko ITv, kesho mwananchi keshokutwa MM steel mara Railway huwa lazima awe attached na ajira rasmi. Off course zile suti huwa hawakosi kuvaa japo siku moja ya mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya kutokukosa kazi mkuu ilikuwa almanusura iniponze! Watu wakaanza kuulizana mbona huyu jamaa anabadili kazi namna hiyo? Huyu atakuwa kitengo! Looh, jamani mengine ni kazi tu!
 
Kuhusu ndevu usijidanganye wanafuga sana tu
 
Asante sana mkuu. Umeanalyse vizur sana. Nafkir umeitendea haki shule yako. Ubarikiwe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye flats wanakaa pamoja lakini kikazi vitengo tofauti kuna siri za levo fulani hawaambizani zote kila kitengo na siri zao ila kazi ni moja ni kama unavyoona jw au polisi kuna levo ya afisa hawezi muambia prvt au konstebo taarifa labda ya kikao taarifa zinaendana na renki ya kitengo
Hawajuani kivipi mkuu wakati wanaflats zao na mpk ofisi zao zinajulikana???????????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna chizi mmoja huku mtaani ni wa muda mrefu sana,ila nimeanza kuwa na mashaka nae

kutokana na uchizi wake ulivyo na msimu na sehemu anazopenda ingia kuomba sh.200 ya sport

yeye muda wote yuko rough ananuka,sema nguo zake za kunuka hzo hzo anabadlisha leo

atavaa hii kesho atavaa ile,nishamuhesabia pea za nguo zake zinazidi 10 Japo zote ni za kichizi chizi.

Hili jamaa ni li usalama kbsa,hawa viumbe ukiamua kutumia akili zako zote Mungu alizokupa

utawajua wote maana wana sifa 1 kuu ambayo wote wanayo "umakini" wa hali ya Juu.
 
Anaesema TISS hawafugi ndevu aendele kujidanganya hivyo hivyo,kuna TISS mpk madada poa

wana tatoo mpk matakoni na ni TISS bahati mbaya ya hii taasisi unaweza pigwa chini na ukawa

mwananchi wa kawaida kbsa ukawa una hangaika mtaani na maisha ila ulishawahi kuwa TISS

na hawa wanaopigwa chini ndio wavujisha siri za kambi,nadhani serikali iangalie na kazi za ambazo

mtu anaweza kufukuzwa/achishwa,unamuajiri TISS anafaya kazi miaka 10 halafu unakuja mtumbua

kwa kosa la kizembe tu,bora hata badala ya kuwatumbua wangewapa majukumu mengine ila sio kuwatupa

huku mtaani.
 
Kwa watu wa chini ni ukweli. Unaweza kuwekwa kitengo au kupewa kazi ambayo iliufanikishe lazima uwe muokota makopo ama muuza karanga. Saa zingine unapewa kesi unafungwa jela kutoka mpaka upate ulichotumwa.

Kuna OCD moja rafiki yangu sana anawaogopa wauza karanga hata awe mtoto. Hawa walitumika sana enzi za Jakaya

God save us
 
waongo bhana wewe utumike shughuli ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi namjua askari mmoja mwenye Rasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…