Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Ukitaka kuwajua,jichanganye kwenye vijiwe vya kahawa,dafti na bao Wazee wa vijiwe hivyo wanawajua vizuri
Huwa wanawaitwa Askari wapelelezi
Vijiwe vya kahawa wengi Ni makachero wa polisi mkuu, wale tofauti na TISS mkuu hata mtu wa TISS akiwa undercover anatofautiana Sana na Hawa makachero wa polisi

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Nilitegemea kuliona hili, Kipilimba aliharibu Idara sana. Japo diwani anapambana kuirudisha ila bado sio mtu sahihi..

Who knows ya yajayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Misitishike na hao jamaa wengine ni maclass mates wetu Kama mimi nilikuwa nasoma na mmoja wao baada ya kumaliza form 4 tulipotezana miaka 4 baada ya kuonana nae akanitonya yupo kitengo lakini akaniambia huwa hawakai sehemu mmoja mpaka agizo alilopewa mpaka likamilike hasa kwa watumishi wanaojisahau au kula Rushwa na madili ya hapa na pale ni watu wa kawaida tu sema wana kuwa kama kivuli cha polisi
Naomba kuuliza hivi ulikuwa unajua takukuru wanauwezo wa kuchunguza tasisi zote za serikali na kuchukua hatua kwa mwenendo wetu ulivyo
 
Mkuu unajua recruitment ya sasa inakuwa ngumu kuwapata wale cream kwa sababu hawapati mda wa kuwafahamu waajiliwa. Enzi hizo ili uwe recruited unakuwa umeshachunguzwa kwa kila kitu yaani wanakuwa wanakufaham in and out.
 
Hilo la kujuana ama kutojuana sijui, Ila la kutokuaminiana nadhani ni kweli. Nimefanya kazi kwenye kampuni za ulinzi tofauti hapa Tanzania. Msisitizo mkubwa unawekwa kwenye kutokumuamini yoyote unaefanya nae kazi kuanzia walinzi Hadi staff. Wanasisitiza kuamini kwenye chain of command zaidi kuliko individuals kwa usalama zaidi, ndio maana reporting mi muhimu Sana. Na reporting iwe kwa maandishi kwa ushahidi zaidi na usalama wako na jamii kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe kampuni za ulinzi kama (KITUMBO SECURITY ) ndio TISS sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajua recruitment ya sasa inakuwa ngumu kuwapata wale cream kwa sababu hawapati mda wa kuwafahamu waajiliwa. Enzi hizo ili uwe recruited unakuwa umeshachunguzwa kwa kila kitu yaani wanakuwa wanakufaham in and out.
Ni sahihi kabisa mkuu!! Zamani walipenda Sana kutumia special schools kuwapata vijana!!

Siku hizi Ni kujuana na uccm zaidi

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Hiyo Ni rule number 1 katika maisha ya usalama!! Trust no body na rule number 2 never underestimate the power of unknown!!

Hivyo kiulinzi na usalama principles lazima zifuatwe haijalishi ktk kitengo gani!! Mlinzi, Afande, komando, TISS n.k

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Ngoja kwanza; unazungumzia hawa hawa wanaojitaja kuwa Mimi ni Usalama wa Taifa??
 
Ngoja kwanza; unazungumzia hawa hawa wanaojitaja kuwa Mimi ni Usalama wa Taifa??
under cover ndio hatufahamiani, hao wengine wanajuana kama watumishi wengine tu wa umma wanaenda ofisini kila siku na wanaishi kwenye nyumba za idara

Kwa mfano Mimi nilikua sifahamu kama DG wa sasa ni Mwana idarA
Wengi wanajulikana wengine hawajulikani.
 
Utadhani vikao wanafanyia mbinguni lakini kama wanafanyia hapa hapa duniani kwa nini wasijulilane?? Hawatajulikana kwa wengi lakini watajulikana tu na kujuana. Kwani kwenye operations zao hawashirikiani?
 
Ujasusi wa Bongo huwezi kuutemganisha na siasa.
 
House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Ahsante sana kwa hili angalizo,ingekuwa sijamtia mimba ningeshamfukuza ila kwasababu Ana mimba,nishampangia chumba Niko kwenye harakati za kumnunulia samani halafu ghafla bin vuu kabla hajajipanga nimuhamishie kule.
Nalog off
 
Vijiwe vya kahawa wengi Ni makachero wa polisi mkuu, wale tofauti na TISS mkuu hata mtu wa TISS akiwa undercover anatofautiana Sana na Hawa makachero wa polisi

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
We jamaa! House girls hawa noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…