FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulifungwa kamba na huyo binti ili umuogope hakuna lolote hapo.Mulemule mzee big up...niliwahi kutumika bila mwenyewe kujua katika haya mambo...nilipokuwa chuo nilikua na mahusiano na binti mmoja kumbe bhn ni MTU wa kitengo na nilikuja kujua mwaka wa pili wa masomo,na ana bosi wake kabisa ambaye ndio huwa anampa maelekezo siku moja nkamwambia natamani sana na Mimi nifanye kazi hii akanambia sikushauri ni kazi inayohitaji uzalendo na ni ngumu sana hasa kwa watu wa level za chini kama alivyokuwa yeye na akanambia pale chuo wapo wengi tu na huwezi kuamini wengine..sasa siku moja akanikutanisha na bosi wake bila kujua bosi akanitumia katika shughuli za nchi huku nikiwa sijui nilikuja kujua mwaka wa mwisho kabisa kazi ikiwa imeisha nilichoka...
Toa ufafanuzi mkuu. Kuna rafiki yangu chuoni anajua ofisi zao zote, naona kila siku ananiletea story zao na yeye anajifanya hayupo uko. Then watu wengi wananambia mimi ningefaa usalama, kitu ambacho siwezi enda. Kwanza huwezi nihusisha na siasa kwa njia yoyote na TISS ya bongo najua ni siasa kwa sana.
Sijui ni kwa nini lakini kila ninapoenda au kuishi basi watu hunichukulia tofauti sana, yaani huwa wananihusisha na hawa jamaa, mpaka sasa imefikia kipindi natamani NIWE kweli. Kuna sehemu niliwahi kwenda ikafikia kipindi nikikuta watu wanaongea basi nikifika wananyamaza au kubadili story mpaka niondoke hilo eneo(mwenyeji wangu akaniambia hao jamaa wanakuhisi wewe ni usalama) kuna mahali pia niliwahi pata kazi, basi ofisi nzima wananiogopa, kuna bro mmoja tulipozoeana sana ndio akaja kuniambia, watu wanahisi wewe ni usalama, wanakuogopa, tukirudi kitaa (huwa situlii sana hapo, ingia toka nyingi mpaka nimekuwa mkubwa) pia watu huwa wanamuuliza mzee wangu hivi huyu mwanao huwa mnaongea nae kweli (me mkimya) anafanya kazi gani? (Baba aliwahi niambia wanahisi wewe ni usalama) Yaani mpaka watu wazima wa mtaani wananiogopa, kila ninapoenda mimi huwa nakuwa treated tofauti, nahusishwa na hao jamaa mpaka nimezoea na nimejikuta naanza kutamani niwe Usalama kweli sasa. Huwa najiuliza mimi nina nini? Nina Onekana vipi? Sijawahi pata jibu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sifai kweli maana sipendi kupelekeshwa.
uamuzi mzuri kubaki na ujinga wakoNimeandika nikafuta, nikaandika tena kisha jikafuta.
Nashukuru sikupost nilichokusudia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]uamuzi mzuri kubaki na ujinga wako
Tena jumlisha na ile 'miguvu' yangu ya soda ya Coca Cola au Pepsi ile ya kufurika na kupwa pwaaa!!!!
Ni kweli sisi kwa sisi hatufahamianani na pia kazi zetu hazitaki tufahamiane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajuana baadhWanajuana vizuri sana sema kwenye majukumu hapo ndipo huwezi jua mmoja wako ana mishe gani wakati gani. Mbona kuna sehemu niliona wanajuana kabisa.
Hizo ndo nyingi za unajua mimi nani? Nikujue ili iwejeKuna watu wanajifanya wazee wa k nyama.kwenye vi grocery mtaani ukimzingua mtu kidoogo anakuuliza "hivi unanijua mm ni nani"
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiishafanani ushafeli.Nadhani ww hufai sababu katika vitu hatarishi kwa Agent ni kuwa recognized kwa haraka
Sent using Jamii Forums mobile app