Charlez kanumba
Senior Member
- Nov 2, 2024
- 187
- 501
We unauchukuliaje huo mtazamo mkuusinza pazuri
Diamond Platnumz aka Simba ni msanii wa kihistoria yani bongo hatuwajai kuwa na celebrity mkubwa hata nusu ya Diamond.
Diamond Platnumz aka Simba ni msanii wa kihistoria yani bongo hatuwajai kuwa na celebrity mkubwa hata nusu ya Diamond.
Ukisikia story eti fulani alikuwa mkubwa kuliko diamond wa sasa ujue ameamua kujifurahisha.
Kila enzi na kitabu chake. Ni kweli kuwa Kanumba ndiye msanii wa kwanza Tanzania kutambuliwa Nigeria, Afrika ya Kusini na Holywood Marekani, ilikuwa apewe role ya movie fulani ya Holywood lakini akafariki kabla hajaanza kazi. Hata hivyo hiyo ni zaid ya miaka 15 iliyopita, hiwezi kujua leo mambo yangekuwajeEti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
Kacheza movie na ramsey noah akiwa kwenye peak na kipindi anafiriki omotola jalade alituma pole ya rambirambi that's means alikua anajulikana Nigeria.Kanumba sana sana umaarufu wake ulikuwa ni kwa hizi nchi zinazoizunguka Tanzania, Diamond kavuka hapo ndio tofauti
Kama kipindi kanumba anaaza kuigiza ulikuwa unamuona mpka kifo chake na pia Diamond unamuona huwezi kuuliza hilo swali. Mpka Sasa hivi hakuna msanii wala mwanamichezo au mtu yoyote wa burudani anayemzidi umaaruf wa kidunia Diamond. Si Mzee Jangara Wala Majuto, Wala Kingwendu. Yaani kinumaaru Diamond anasoma level za wanasiasa kwa hapa bongoEti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
Na enzi za Kanumba social media hazikuwa za moto kama sasa. Hakukuwa na chawa lakini mwamba alitoboa.Diamond ndio nani?
Acha kuwalinganisha malegend na vitu vya kijinga
Na game lilikua gumu, hamna support ila mwamba alipasua anga.Na enzi za Kanumba social media hazikuwa za moto kama sasa. Hakukuwa na chawa lakini mwamba alitoboa.
Huo ndo ukweli Sasa kanumba alihit wapi zaidi ya Tz na kale kamovie ka dar to lagosiUnampambania sana boss wako, akuongeze dau.