Pa-Paa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 916
- 1,363
Ni rahisi Ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mimi kusikiliza nyinbo za Zuchu.Wewe unasikiliza bhn acha kutupanga. Playlist yako imejaa nyimbo za Zuchu. Kerbu wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rahisi Ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mimi kusikiliza nyinbo za Zuchu.Wewe unasikiliza bhn acha kutupanga. Playlist yako imejaa nyimbo za Zuchu. Kerbu wewe!
Vitu vingine ni vya kufikirika zaidi kuliko uhalisiaEti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
Kwanini wew useme hauna bosi na yeye hajanyanyuka kukupinga lakiñ wew moja kwa moja umemuelekezea kidole yeye na huyo unaezan ni bosi wake,Sina boss.
Sasa unapolinganisha ukubwa WA kanumba akiwa hai na ukubwa WA diamond sahiz unatumia nini labda basi ,nikuelewe, Kama hau imagination ni nn ,au unqishi nao Katika ulimwengu wwko Sasa unangalia ukubwa wao tokea ujoPumba kabisa wewe; nimeandika nini hapo anbacho ni imagination tu?
Huo ndo ukweli Sasa kanumba alihit wapi zaidi ya Tz na kale kamovie ka dar to lagosi
Basi tumia imagination, tunazungumza kwamba je umaarufu, kukubalika pamoja na ubunifu pia mvuto wa kuwa kipenzi cha watoto, watu wazima, hata wazee pia alio kuwa nao Kanumba kwa kipindi kile back in the days, ulikuwa more hot zaidi ya diamond wa leo, yani wew jaribu kurudisha kumbukumbu zako kipindi cha Kanumba kisha compare na kipindi cha diamond wa leo, pia tumia hiyo imagination sio mbaya je angekuwepo unahisi kuna msanii angemfikia, yani ni sawa na kuulizwa je nyerere angekuwa hai hadi leo Tz ingekuwaje?-jibu lazima utalipata tu japo utatumia imaginationSasa unapolinganisha ukubwa WA kanumba akiwa hai na ukubwa WA diamond sahiz unatumia nini labda basi ,nikuelewe, Kama hau imagination ni nn ,au unqishi nao Katika ulimwengu wwko Sasa unangalia ukubwa wao tokea ujo
Umesoma kuwa niliwalinganisha? Au ulisomea chini ya mti. Hukusona nimeandika kuwa kila enzi ina kitabu chake?Sasa unapolinganisha ukubwa WA kanumba akiwa hai na ukubwa WA diamond sahiz unatumia nini labda basi ,nikuelewe, Kama hau imagination ni nn ,au unqishi nao Katika ulimwengu wwko Sasa unangalia ukubwa wao tokea ujo
We are not with him physically, but he is still alive with us spiritual, also he leaved a greatest legacy behind.Mnaweka wafu na walio hai meza moja eh
Hii kamba hii 2012 Diamond alishakua maarufu tayari, na msibani ilikua hangwe alipofika, ingia mjini youtube uangalie.kanumba yupo hai muziki na bongo movies zilikuwa mbingi na ardhi,msiba wa kanumba 2012 niko form 2 azaboy mond alienda msibani halafu watu hawana time nae.
Mlamba midomo yule na mpaka poda ndiyo umemuona legend, kama nchi bado tuna safari ndefu sana. Hivi sanaa yao ya Bongo Movies na Bongo Flavor wapi wamepaisha zaidi kimataifa, angalau kutufanya tutambulike kidogo au artist akisafiri kuwa recognizable kwenye japo Airports au kwenye International flights yaani kutokee japo wawili watatu wa kumshangaa ile ya "that dude/lady is a celebrity and he/she is from Tanzania".Mme anza kumfananisha legend na wakata viuno
Wewe utakuwa mvaa kobazi wa Malamba mawiliDiamond Platnumz aka Simba ni msanii wa kihistoria yani bongo hatuwajai kuwa na celebrity mkubwa hata nusu ya Diamond.
Ukisikia story eti fulani alikuwa mkubwa kuliko diamond wa sasa ujue ameamua kujifurahisha.
Unajua nyie wanawake kuna ujinga huwa mnaaminishwa, yaani Nyerere unamfananisha na ujinga 🤔Kanumba alijitahidi na kuwa maarufu sana kwa wakati wake ila Diamond kashavunja rekodi yake. Diamond kwa sasa labda umpambanishe na Filbert Bayi, Jakaya Kikwete na Julius Nyerere maana hao ndo watanzania wanaojulikana kitaifa na kimataifa.
Wewe mwanangu acha kunitukana baba yako halisi. Mama yako bado hajakuambia hii siri?Unajua nyie wanawake kuna ujinga huwa mnaaminishwa, yaani Nyerere unamfananisha na ujinga 🤔
Mkuu mbona nakuheshimu ila unanitukana, au nimekukosea?Wewe mwanangu acha kunitukana baba yako halisi. Mama yako bado hajakuambia hii siri?
Bongo Movies haikuwa juu kwa sababu ya Kanumba peke yake, hao madogo Kanumba na Ray wanapanda kwenye stardom tunawaona toka wakiwa makinda. It was almost everywhere in Africa Movies zilikuwa juu zaidi ya African music ukitoa watu kama wa DR Congo or the then Zaire na hata Nigeria kulikuwa na big artists wachache waliokuwa juu kina Femi Kuti then akaja 2Face(2Baba) lakini matangazo makubwa na endorsements zilikuwa zikienda kwa kina Genevive Nanji and the likes lakini kwa sasa Nigerian music(Afrobeat) imefunika Nollywood labda kama kifo cha Kanumba kimeangusha na Movie Industry ya Nigeria.Humu leo ndio utajua kuna watu either watoto au basi vichwa vyao vinawaka moto .....
kanumba yupo hai muziki na bongo movies zilikuwa mbingi na ardhi,msiba wa kanumba 2012 niko form 2 azaboy mond alienda msibani halafu watu hawana time nae.
Kanumba alikuwa anapata deals za kutosha hapa tz kama ile ya star times diamond bado anahangaika na wema ambaye wema ndio kachangia kumleta mjini diamond lakini wema huyo huyo kaletwa mjini na kanumba
Acheni kabisa imagibe jamaa alikufa na 28yrs huu umri kwa aliyoyafanya inabid apewe heshima yake.....
Hujanikosea mwanangu nilikuwa nakukumbusha kuwa mimi ndo baba yako halisi sio huyo unayedhani. Unapojibu comment yangu jibu ukijua unamjibu baba yako.Mkuu mbona nakuheshimu ila unanitukana, au nimekukosea?
Nimekupiga tena ban upimzike kidogo kutumia jfDiamond ndio nani?
Acha kuwalinganisha malegend na vitu vya kijinga