Ni kweli umaarufu wa marehemu Kanumba ulikuwa ni zaidi ya Diamond Platnumz?

Ni kweli umaarufu wa marehemu Kanumba ulikuwa ni zaidi ya Diamond Platnumz?

Kanumba was far ahead compare na Mond kama uki judge kulingana na ugumu ama urahisi wa kutoka kwenye zama zake.... Kwasasa Mond yuko far ahead kwenye Mafanikio tu ila kwa Umaarufu na kuwa Smart Talented ijapokuwa Fani 2 tofauti huyo si mwingine bali ni The Great Kanumba.
 
Kila enzi na kitabu chake. Ni kweli kuwa Kanumba ndiye msanii wa kwanza Tanzania kutambuliwa Nigeria, Afrika ya Kusini na Holywood Marekani, ilikuwa apewe role ya movie fulani ya Holywood lakini akafariki kabla hajaanza kazi. Hata hivyo hiyo ni zaid ya miaka 15 iliyopita, hiwezi kujua leo mambo yangekuwaje
Sasa una imagination kitu ambacho akikutokea na hakiwezi kitokea, wew sema kwa unavyomuona diamond kwa Sasa na kanumba kabla aja fariki Basi umaarufu wao ukoje ,
Swali dogo tu ilo mnashindww
 
Eti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
Kanumba hawezi kumfikia hata mbosso kwa umaarufu, Kanumba ametrend zaidi kwenye msiba wake
 
Nilichogundua WaTz wengi wana chuki sana kwa watu waliofanikiwa tena ni wanafiki sana, Swala la Diamond kua mkubwa zaid Tanzania halina ubishi wala halihitaji hata F moja.
Level aliyoishia Kanumba ndio Level aliyokuwapo Diamond miaka ya 2015 hivi.

Binafs sisikilizi mziki wa Usafini kutokana na Miondoko yao ya Kipemba na Content zao Mbovu ila LaMasimba apewe maua yake ananyoosha sanaaa.
 
Eti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
Kanumba hana tofauti na Ray Kigosi, hata angekuwepo wangeendelea kukimbizana na kupaishana vilevile.
Diamond is international celebrity(African celebrity).
Kanumba hata Zimbabwe au Botswana hauwezi kukuta vijana wanaomfahamu, alikuwa anajulikana TZ,KE,Burundi,Rwanda na wazungumzaji Kiwahili wa UG,DRC na Mozambique. Si nje ya hapo.
 
Sasa una imagination kitu ambacho akikutokea na hakiwezi kitokea, wew sema kwa unavyomuona diamond kwa Sasa na kanumba kabla aja fariki Basi umaarufu wao ukoje ,
Swali dogo tu ilo mnashindww
Pumba kabisa wewe; nimeandika nini hapo anbacho ni imagination tu?
 
Eti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
NDIO
 
Diamond Platnumz aka Simba ni msanii wa kihistoria yani bongo hatuwajai kuwa na celebrity mkubwa hata nusu ya Diamond.

Ukisikia story eti fulani alikuwa mkubwa kuliko diamond wa sasa ujue ameamua kujifurahisha.
Dogo pamoja na kuwa bega la *dimond ila kwa umri wako inawezekana hukumjua late Kanumba.

Na hata kama angekuwepo leo either angefunika eneo zima la tasnia ya kuigiza hama angekuwa na wafuatiliaji wengi kuliko *dimond.

Cha kuleta utofauti ni, Kanumba alikuwa mkubwa kwa wakati wake na sasa *dimond ni mkubwa na wakati wake tena kupitia tasnia ya muziki.

Ila kongole kwa Kanumba he deserve to be GREAT KANUMBA!.
 
Movies star hawezi mzidi musician kwa umaarufu hao k8nasheaziniga vandame hawawezi fikia umaarufu alionao hata snoppydog au pdidy.hivyo mond hadi pdidy anamjua ila huyo kanyumba hata kelvin hart tu hakua anamjua
 
Humu leo ndio utajua kuna watu either watoto au basi vichwa vyao vinawaka moto .....

kanumba yupo hai muziki na bongo movies zilikuwa mbingi na ardhi,msiba wa kanumba 2012 niko form 2 azaboy mond alienda msibani halafu watu hawana time nae.

Kanumba alikuwa anapata deals za kutosha hapa tz kama ile ya star times diamond bado anahangaika na wema ambaye wema ndio kachangia kumleta mjini diamond lakini wema huyo huyo kaletwa mjini na kanumba

Acheni kabisa imagibe jamaa alikufa na 28yrs huu umri kwa aliyoyafanya inabid apewe heshima yake.....
Wewe utakuwa sio wa mjini unasikikiza sana story za vijiweni

Huu msba gari ya Diamond ilisukumwa toka kino mpaka sinza uliza watoto wa mjini uelezwe

View: https://youtu.be/ktCSmx-ivZA?feature=shared
 
Nilichogundua WaTz wengi wana chuki sana kwa watu waliofanikiwa tena ni wanafiki sana, Swala la Diamond kua mkubwa zaid Tanzania halina ubishi wala halihitaji hata F moja.
Level aliyoishia Kanumba ndio Level aliyokuwapo Diamond miaka ya 2015 hivi.

Binafs sisikilizi mziki wa Usafini kutokana na Miondoko yao ya Kipemba na Content zao Mbovu ila LaMasimba apewe maua yake ananyoosha sanaaa.
Wewe unasikiliza bhn acha kutupanga. Playlist yako imejaa nyimbo za Zuchu. Kerbu wewe!
 
Back
Top Bottom