Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichomfanya diamond asiwe anaenda kwenye misiba ni ukubwa wake,nakumbuka siku ya msiba wa kanumba alienda lakin alivyofika watu wakampokea kwa shangwe sana mpaka akawa anajishutukia na wakat wa kuondoka mashabiki walisukuma gari lake walimzuia asiliwashe,jamaa aliona jau sana ndo maana hanaga hamu ya kuhudhuria misibaniDiamond Platnumz aka Simba ni msanii wa kihistoria yani bongo hatuwajai kuwa na celebrity mkubwa hata nusu ya Diamond.
Ukisikia story eti fulani alikuwa mkubwa kuliko diamond wa sasa ujue ameamua kujifurahisha.
Huyo mwehu karudi,ban yake ilikuwa ya siku moja!Nimekupiga tena ban upimzike kidogo kutumia jf
Umeandika kila kitu mkuu, uko vizuri.Kwa maisha ya kipindi cha kanumba mwamb alipambana sana na angekuwepo leo hi angekuwa mbali sana mana hata gap lake na wenzake likikuwepo sana,,miaka ya leo msanii anatoboa kinafuu mana maplatform meng,,kanumba alitoboa ki analog sana
Bado kaning'inizwaHuyo mwehu karudi,ban yake ilikuwa ya siku moja!
Mada umaarufu sio instagram wala nini.Kanumba aliweza kuwa maarufu bila Kiki za instagram, hadi anakufa yeye ndo alikua ni msanii maarufu zaidi.
Narudia tena Kanumba aliweza kuwa maarufu bila Kiki za InstagramMada umaarufu sio instagram wala nini.
Alafu unauhakika mwaka 2012 kweli kanumba alikuwa na ukubwa kuzidi Mond
nani alimzuiaNarudia tena Kanumba aliweza kuwa maarufu bila Kiki za Instagram
Mkuu anamaanisha kwamba kanumba umaarufu wake haukutokana na kiki za kwenye social media.nani alimzuia
Hapo akiwa Marekani kwenye uwanja unao itwa " steples center"Kanumba sana sana umaarufu wake ulikuwa ni kwa hizi nchi zinazoizunguka Tanzania, Diamond kavuka hapo ndio tofauti
Kanumba sana sana umaarufu wake ulikuwa ni kwa hizi nchi zinazoizunguka Tanzania, Diamond kavuka hapo ndio tofauti
Upo sahihi sana mkuu, una kumbukumbu nzuri.Kilichomfanya diamond asiwe anaenda kwenye misiba ni ukubwa wake,nakumbuka siku ya msiba wa kanumba alienda lakin alivyofika watu wakampokea kwa shangwe sana mpaka akawa anajishutukia na wakat wa kuondoka mashabiki walisukuma gari lake walimzuia asiliwashe,jamaa aliona jau sana ndo maana hanaga hamu ya kuhudhuria misibani
Upo sahihi sana mkuu, una kumbukumbu nzuri.
pitia record ya Mond kabla ya kifo cha Kanumba vizuriila baada ya Kanumba kufariki ndipo diamond alianza kutafuta kolabo za nje ili arithi kiti cha Kanumba, mana wabongo muvi walibweteka sana ndipo upepo ukaanza kuhamia kwenye bongo fleva, na bongo muvi ikawa imekufa jumla sababu ilikosa mtu mwenye uthubutu kama kanumba na ikawa imekufa hadi leo hii lkn bongo fleva ipo juu sababu ina mtu mwenye uthubutu ambaye ni mond, ila angekuwepo Kanumba diamond asingeweza kuwa juu maana bongo movie ilikuwa juu sana sababu ya Kanumba na bongo fleva haikuwa juu kivileee na ndio maana diamond alitegemea kupata kiki kupitia waigizaji kama wema sepetu, bcoz bongomovie was on top..
pitia record ya Mond kabla ya kifo cha Kanumba vizuri