Ni kweli unaweza kumpata mwanamke wa ndoto zako kwenye klabu ya usiku? Nataka nijaribu bahati yangu leo

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
983
Reaction score
2,306
Majizo anasema alikutana na Lulu kwenye klabu ya usiku.

Mr. Blue anasema alikutana na mke wake yule mwarabu kwebye klabu ya usiku.

Leo nataka na mimi nijaribu. Nitatembelea kwenye klabu na baa kadhaa ndani ya jiji la Dar es salaam nione huenda nikakutana na mwanamke wa ndoto zangu.

Wakuu nipeni orodha ya bar na viwanja ambako wanapatikana wadada classic kwa wingi haoa jijini Dar es salaam.

Nikajaribu bahati yangu.

Huku mtaani MIYEYUSHO mitupu mademu wasumbufu hatari wanazungusha ile kinomanoma.

Wacha niende mtaani tu leo nikaoshe rungu.

Nipeni muongozo wakuu
 
Mungu humleta mtu na kukutanisha nae, sehem tofauti kwa wakati wake na muda wake. Unaeza kujaribu wewe lakini muombe sana Mungu
 
Majizo anasema alikutana na Lulu kwenye klabu ya usiku.

Mr. Blue anasema alikutana na mke wake yule mwarabu kwebye klabu ya usiku.

Leo nataka na mimi nijaribu. Nitatembelea kwenye klabu na baa kadhaa ndani ya jiji la Dar es salaam nione huenda nikakutana na mwanamke wa ndoto zangu.

Wakuu nipeni orodha ya bar na viwanja ambako wanapatikana wadada classic kwa wingi haoa jijini Dar es salaam.

Nikajaribu bahati yangu.

Huku mtaani MIYEYUSHO mitupu mademu wasumbufu hatari wanazungusha ile kinomanoma.

Wacha niende mtaani tu leo nikaoshe rungu.

Nipeni muongozo wakuu
Usiseme natafuta mke watakuigizia, we ishi na Mwanamke wa club vizuri na usimchukulie kama Malaya mbona utapata
 
Back
Top Bottom