Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

Note: michoro mingi ilikuwa inaonyesha picha ya mtu mweusi ,and i dont now Y lkn kuna moja ya Sanam moja wazungu waliivunja pua kwa maksudi ili vizazi visijue ukweli kuwa Lile sanam lilikuwa la Black Farrow, sio lazima kuamini lkn
Africa z for africans black people rule ther sio muarabu wala mjusi yyte .
 
Pyramid historia inaonyesha zimejengwa kati ya miaka 4,000 hivi iliyopita.
Miaka hiyo si miaka mingi sana ya kukosa kuzielewa Pyramid hasa kiundani.
Hasa Ukilinganisha kuna vitu vingi tu vyenye zaidi ya miaka 10,000 na historia zake zinajulikana vizuri na maelezo ya kujitosheleza.
 
Tena hasa yale makubwa matatu ya pale misri yamejengwa yakiwa allign na orion costellation kundi la nyota ambazo zinaonekana wakati wa winter, pia pyramid hazipo misri tu zipo india, mexico, china n.k na yote yakiwa na muchoro ya viumbe kutoka angani yani ni kama kuna watu walikuwa wanapa instruction ya kujenga na nini cha kuchora ndani na yale ya Giza ndio their best constuction
Bila kusahau Sudan, ndio yenye Pyramids nyingi kuliko nchi zote, kuizidi hata Misri
 
Note: michoro mingi ilikuwa inaonyesha picha ya mtu mweusi ,and i dont now Y lkn kuna moja ya Sanam moja wazungu waliivunja pua kwa maksudi ili vizazi visijue ukweli kuwa Lile sanam lilikuwa la Black Farrow, sio lazima kuamini lkn
Africa z for africans black people rule ther sio muarabu wala mjusi yyte .
kama haya mambo yalikuwa yakwetu iweje hatujui na hatutengenezi tena hizo pyramid...?
 
Pyramid historia inaonyesha zimejengwa kati ya miaka 4,000 hivi iliyopita.
Miaka hiyo si miaka mingi sana ya kukosa kuzielewa Pyramid hasa kiundani.
Hasa Ukilinganisha kuna vitu vingi tu vyenye zaidi ya miaka 10,000 na historia zake zinajulikana vizuri na maelezo ya kujitosheleza.
so wapi kuna mis information..??
 
Hii harmetica ni moja ya dini za mwanzo kabla ya ukriso na imetwa harmetica kutoka kwenye jina lake la harms na inasemekana hata dini nyingi zimechukua maudhui kadhaa.
Harms alipoonana na Mungu alimuuliza yeye Mungu huwa anafanyaje kazi zake Mungu akamwambia yeye Mungu kitu akikiwaza kinatokea hapo hapo na Mungu ametuumba kwa mfano wetu kwa maana ya kwamba sisi mawazo yetu inabidi mpaka tuyafanyie kazi.
Wakristo ndio wakachukua concept ya Mungu ametuumba kwa mfano wake.
N issue ya hapi mwanzo kulikuwa na neno ni concept kutokea kwa hermetica.
Ukisoma hermetica unaweza kupata kidogo logic kwanini shetani yupo, hermetica wanasema Mungu hakumuumba shetani kwa makusudi ila kutokana na uwezo wake chocgote anachowaza kinakuwa basi kwenye kufikiria kwake hilo wazo la kuwaza tu kuwepo nguvu hasi ya Mungu ndio shetani akatokea, japo hermetica wanatoa muongozo wa namna ya kuikabili hiyo nguvu hasi ni somo la siku nyingine
mh!
 
Mbona taarifa zipo wazi, kila kitu kiibwa na wazungu kwa manufaa yao

Taarifa zinaenda mbali kwa kueleza kuwa wazungu Hawa walipofika misri walishangazwa na mambo mengi yaliyofanywa na waafrika hao tena weusi

Ni kama Leo mtu ajiulize maswali kuhusu mansa mussa, au wale watawala weusi waliotawala ulaya miaka hiyo

Au jiulize story za farao ni za kweli? Utagundua ni zakupika kwa ajili ya wachache, hiyo tekinolojia ya kuhifadhi mwili ilikuwa miaka na miaka

Waafrika walikuwa watu wa mwanzo wenye ustaarab na walikuwa maeneo mengi sana ya Dunia

Tafuta historia vizuri ya mtu mweusi, japo utatakiwa kufanya kazi haswa
 
kwanini sasahivi hatuna hayo maajabu..??
 
We unadhani tungejijua toka kipindi kile life ingekuwaje, Kwanza tungekuwa na sayansi kuwashinda wao, tungekuwa na Uchumi au mali nyingi na utajiri kuwashinda wao pia hivi vita vya kisenge senge ili watu wafanye biashara za silaha zisingekuwepo na pia Haki ingesimama afu kungekuwa na Black supremacy ki2 ambacho ngozi nyeupe iliweka mikakati kuhakikisha hilo swala halitokei milele na milele...
 
hivyo wataka kusema tumelaghaiwa..?
 
Kuuliza si ujinga hivi hump ndani ya pyramid papo kama nyumba au?
images%20(8).jpg
 
Kinachoshangaza pale zaidi ni Yale mawe yalivyopangwa kitaaalamu,pili lili jiwe moja ni kama IST Moja Sasa huwa najiuliza walipandishaje hayo mawe vile? Basi wanadamu wa zamani walikuwa na nguvu sana.Tatu hakujawahi kutwa miili yoyote mule yaani wale mafarao,Sasa nadhani Kuna mambo mengi sana nyuma hatufahamu.
 
Back
Top Bottom