Hii ndio shida ya wengi wenu mnaoamini mtu mweusi alikua bora zaidi ya races nyingine.
Huyo Mansa Musa huwezi kumfananisha na Elon Musk kwangu mimi Elon ni the best aliefanikiwa kwenye dunia yenye nyingi changamoto na a lot of competitors, matajiri wengi, rasilimali chache na a lot of elites wanaoweza kukosoa mawazo yako and mind you Elon sio kiongozi wa kisiasa/kidini.
Mkuu hatutukuzi watu weupe, andika ukweli ukishirikisha ubongo wako. Race nyeusi kuna mahali tunafeli nayo ni kukubali mapungufu yetu na kuyafanyia kazi. Badala yake sisi tunatupa lawama kwa watu weupe ati wao ndio sababu ya sisi kua hivi.
Ukiachana na hao kina Mansa Musa, kanda yetu hii ya Afrika mashariki na kati tuna jambo gani la kuthibitisha tulikua juu zaidi ya mzungu??
Hoja zenu mkiwa mnaitetea race hii mnabase sehemu ambazo sio zenu, Ethiopia, Misri na huko Aftika magharibi na kaskazini...
Ninyi wasukuma, waha, wafipa, wanyakyusa, wagogo, wamasai, wamang'ati , wahehe and the like kabla ya mkoloni mlikua wapi na mnafanya nini????
Mtakuja na hoja kua mmetoka huko kaskazini mkaja huku chini, je hamkuja na technolojia??