Hakuna Mzungu,mwafrica wala mwindonesia aliyejenga pyramids kumbuka hayo madude yapo around the World vipi zile za MesoAmerica na matemple ya India,Sri lanka,Cambodia alijenga mwafrica gani?
Wengi wanadhani hizo site zipo misri tu hapana hizo ni sites chache Kati ya nyingi zinazo patikana Around the World na ukiangalia muundo wake wa ujenzi ni High advanced Mathematics beyond human thinking capacity imetumika kuyasanifu,
Nilibahatika kufika Kailasa temple Ellora Maharashtra India nilicho kishuhudia nilipiga na butwaa kubwa
Yaani Single granite rock imechongwa kwa kutumia vifaa sharpen ambavyo leo hatujagundua bado means ni kama vifaa vya Mionzi yaani Racer tools vinahusika pale ile tech Sio ya Dunia hii akili unasimama,
Wahindi wenyewe hawana documents zozote zinazoonesha binadamu wa kawaida alijenga ila wanadai Mfalme Rastrakuta alimjengea mungu shiva ila kiuhalisia hilo temple lina miaka mingi kuliko kumbukumbu za historia zao!