Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

Kwahiyo hata kazi ya haya mapiramidi bado haijafahamika
Zinafahamika na wanafizikia nguli ila wameuchuna fyuuu
Matacore yao,
Hivi unadhani Nikola Tesla aligundua huu umeme wa AC idea alipata wapi?

Jamaa ali calculate Mathematics kali zilizokutwa kwenye Moja ya madesa ya kale ya Khemet ndio akaja na hili jini la TANESCO,
Mosi Tesla alikiri Pyramids ni Ancient power plant tena wireless transmission yaani kudadeq hakuna manyaya wala makebo kitu kinasafiri kama mawimbi yaani imagine leo simu yako inajichaji bila umeme wa nyaya mawimbi kama WIFI wewe huogopi?

Akaenda mbali akasema soon Dunia nzima itautumia huo umeme bureee
N akapiga mikwara kwamba akimaliza kufanya tafiti zake baadae watu hatutatumia ndege,magari wala punda kusafiri yaani tuta telepathy ile fyuu kama vigagula 1 second upo mwanza to Dar
Dar to New York,
New York to bangkok
Wakina Thomas Edison watengeneza nyaya na kina ford wakaona isiwe kesi mosi wakachoma maabara yake ya utafiti akapoteza formula walivyoona ni unstoppable wakampeleka kwa JEHOVAH mashetani wale leo hii hawa
TANYESCO walitukatia umeme wasingekuwepo
Shabhaaash!
Anyway kazi ya pyramids ilikua Energy power plant za Anunnak!
 
Moja ya msemo wake aliwahi kusema
"The present is theirs; the future, for which I have really worked, is mine"
 
Kila nikifatilia historia juu ya majengo makubwa na yenye stori lukuki pale Egypt, yani pyramids napata mashaka ya nini kinachoendelea.

Hususani kumekuwa na stori tofauti tofauti lakini bado hazijategua kitendawili!, vilevile uwepo wake hapa Africa na nikiambiwa kuwa waafrika ndio waasisi wa majengo yale ndo kabisa naona tafrani.

Hii ni kutokana na umaridadi wa majengo yale inaonyesha kabisa alieyatengeneza alikuwa ni fundi haswa!, sasa kama ni sisi waafrika mbona hatuna majibu na utaalamu huo uliishia wapi..??

Kwa uchache nitagusia nadharia mbalimbali ambazo zinadai kuwa watu ama jamii fulani ndio waliratibu majengo yale!..

Annunaki.
Baadhi ya watu huamini kuwa majengo yale yalitengenezwa na viumbe waitwao annunaki ambapo kwa wakati huo walikuwa na utaalamu wa aina yake!, haiishii hapo tu wapo pia wanaosema hao annunaki ndio waliotuumba sisi binadamu!, lakini nadharia hii bado haina majibu ya uhakika/uthibitisho!. so bado ni fumbo...!

Wayahudi/Israel
Hii inatoka kwenye biblia ya kwamba waisrael walichukuliwa kwenda uhamishoni hapo misri wakati wa utawala wa mafarao na walifanyika kuwa watumwa, na walitumika kujenga hayo ma pyramid wakati huo wa utumwa wao!, utata unakuja haifahamiki walitumia utaalamu upi maana kwa kipindi hicho ni ngumu kwa mwanadamu Kutengeneza majengo kama yale kutokana na teknolojia ya wakati huo ni ngumu!, kupandikiza yale majabali mengi kiasi kile na yenye uzito mkubwa huo ufanisi binadamu wa wakati huo uliutolea wapi..?

Isitoshe wataalum walipima nakugundua pyramid za pale misri zapata kuwepo miaka 4500 iliyopita!.. vilevile hao wa misri wao walikuwa wanadai waliyatengeneza kwaajili yakuzikia wafalme na malkia zao!, ama waweza sema royal family.

Lakini kwa mujibu wa watafiti hawajawahi kupata mwili wowote kwenye pyramids!, miili imekuwa ikipatikana maeneo ya mbali na yalipo hayo ma pyramid!.

Hata hivyo haingii akilini mtu kujenga mijengo kama ile ati kwaajili tu ya kuzika mafalao na malkia zao!, mh! bado inatia shaka!.

Viumbe toka anga za mbali ama Aliens.
Wengine huamini kuwa majengo yale yaliratibiwa na viumbe wenye uwezo mkubwa wa kiteknolojia maarufu kama aliens, na lengo la wao kujenga hayo madude ilikuwa ni kwaajili ya Kutengeneza umeme ama nguvu ambayo wenyewe ndo wanajua ilikuwa kwaajili ya nini!!.

Nadharia hii ya yale madude kuwa sehemu ya power implant inachagizwa zaidi na nguli wa maswala ya umeme nikola tesla!, ambae alisema kuwa haswa hiyo ndo ilikuwa kazi ya yale madude, pia wapo wataalum wengine pia wamejaribu kugusia hilo na kutokana na ramani za yale madude kule ndani wanaafiki kuwa nikola yupo sahihi!, kizungumkuti ni haifahamiki ilikuwa kwa lengo gani na haijathibitika!.

Jamii ama kizazi ambacho kimeshapotea!.
madai ya baadhi ya watu husema pyramids zilijengwa na jamii ambayo ilikuwa na uwezo huo na hapa katikati kukatokea janga hiyo jamii ikapotea!, hivyo ndio maana tunakosa majibu!..😅

Nadharia juu ya nani ni mjenzi wa zile pyramid zipo nyingi nimegusia chache ambazo nazo hazijatoa majibu!, sasa hoja yangu ni tutakuwa kwenye giza la kukosa majibu ya hakika mpaka lini..?

Naona kama hatupo serious! madude makubwa kiasi kile na hatujui yameratibiwa na nani!, hapohapo ma injinia wanakili hata teknolojia ya sasa haiwezi kujenga yale madude!!!! WTF!.

Wanakiri pia yale mawe yaliyotengenezewa pyramid yaonyesha yalikuwa yanakatwa kwa ustadi mkubwa halafu ndo yanajengewa pyramid!, wakati huohuo mawe yale yalikuwa yanapatikana umbali mrefu toka zilipo pyramid!, hivyo maswali ni mengi maana kwa wakati huo walisafirisha na nini kwenye kuyabeba!.

Pia utata mwengine ni ile perfection ya kuyabebanisha yale mawe!, unaambiwa nafasi kati ya jiwe moja na lengine ni ndogo sana kiasi kwamba hata kucha ya binadamu haipiti!..😅

Maoni yangu.
Inaweza ikawa kweli tukawa hatujui, ila pia wapo wanaojua na wameamua watunze siri kwa minajili ya kwao wenyewe!, ijapo bado tafiti zinaendelea kufanyika mpaka leo.

Ndugu msomaji nini maoni yako juu ya hili, unafikiri tutaendelea kukaa kwenye hichi kitendawili mpaka lini?
Nyingine pyramid zipo mexico
 
Critical thinking
 
Egypt was the place that Alexander the Great went
He was so shocked at the mountains with black faces
Shot up they nose to impose what basically
Still goes on today, you see?
If the truth is told, the youth can grow
Ila kama kweli why wavunje pua za yake masanamu
Daaah broo unatuletea verse ya Nas au sio😄😄.. Anyway, I know I Can
 
Mimi ni mdau mmojawapo ambaye nimebahatika kufuatilia mara kadhaa video mbalimbali youtube kuhusu nadharia hizi na hata elimu mbalimbali za Egyptology kuna mengi ya kujifunza ambayo bado hakuna majibu ya moja kwa moja, Na mara kadhaa Archaeologists mbalimbali wameonekana kuendelea kuchimba na kutafiti zaidi.

Lakini ninaamini Roma inaweza kuwa na siri nyingi juu ya haya mambo kwa kuwa walitawala maeneo hayo wakati wa Alexanda the Great na Hata kusababisha mji mmoja huko kuitwa kwa jina la mtawala (Alexandria) ambao ulikuwa una maktaba iliyosheheni machapisho mengi ambayo yaliungua moto wakati wa kuvaimia Egypt wakati huo, endapo maktaba hiyo ingeokolewa pengine siri nyingi zingefahamika mpaka leo. Tuendelee kujifunza.
Point of correction, Alexander the great alikuwa Mgiriki na sio Roman. Utawala wa kigiriki kule Misri ulifika tamati kipindi cha Cleopatra vii baada ya kuangushwa na majeshi ya warumi wakiongozwa na Caesar Augustus mtoto wa kuadapt wa Julius. Wakati huo hayo mapyramid yalikuwa na miaka zaidi ya 2000 yamesimama, inshort hata warumi na wagiriki walijiuliza maswali hayo hayo tunayo jiuliza leo kuhusu hizo pyramids na hawakuwa na majibu.
 
Kwa nyongeza tuu Pyramids nyingi hazipo Egypt , zipo Sudan ila concept inakuja ukiachilia mbali dini Ss Binadam Hatupo pekeetu kwenye huu ulimwengu na sayari zake ambapo sayansi ya NASA imetidanganya sana kwamba zipo tisa ila zipo zaid ya,
Na huko angani pia kunaviumbe vyenye akili kutupita xx binadam , sio lazima kuamini ila all in all as Humans we are not allon trust me ...
Naeza kukuelewa
 
Zinafahamika na wanafizikia nguli ila wameuchuna fyuuu
Matacore yao,
Hivi unadhani Nikola Tesla aligundua huu umeme wa AC idea alipata wapi?

Jamaa ali calculate Mathematics kali zilizokutwa kwenye Moja ya madesa ya kale ya Khemet ndio akaja na hili jini la TANESCO,
Mosi Tesla alikiri Pyramids ni Ancient power plant tena wireless transmission yaani kudadeq hakuna manyaya wala makebo kitu kinasafiri kama mawimbi yaani imagine leo simu yako inajichaji bila umeme wa nyaya mawimbi kama WIFI wewe huogopi?

Akaenda mbali akasema soon Dunia nzima itautumia huo umeme bureee
N akapiga mikwara kwamba akimaliza kufanya tafiti zake baadae watu hatutatumia ndege,magari wala punda kusafiri yaani tuta telepathy ile fyuu kama vigagula 1 second upo mwanza to Dar
Dar to New York,
New York to bangkok
Wakina Thomas Edison watengeneza nyaya na kina ford wakaona isiwe kesi mosi wakachoma maabara yake ya utafiti akapoteza formula walivyoona ni unstoppable wakampeleka kwa JEHOVAH mashetani wale leo hii hawa
TANYESCO walitukatia umeme wasingekuwepo
Shabhaaash!
Anyway kazi ya pyramids ilikua Energy power plant za Anunnak!
Wewe utakuwa siyo wa kawaida, hata hili nalo unalijua? Except tu ni kwamba hakuna uhakika kama waliowahi kufanya hivyo ni Annunaki, ukizingatia kuwa Annunaki ni watu wambao siyo halisi, ni imaginary. Inahisiwa tu kuwa waliwahi kuwepo Annunaki ila uhakika haupo
 
Back
Top Bottom