Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

Note: michoro mingi ilikuwa inaonyesha picha ya mtu mweusi ,and i dont now Y lkn kuna moja ya Sanam moja wazungu waliivunja pua kwa maksudi ili vizazi visijue ukweli kuwa Lile sanam lilikuwa la Black Farrow, sio lazima kuamini lkn
Africa z for africans black people rule ther sio muarabu wala mjusi yyte .
 
Pyramid historia inaonyesha zimejengwa kati ya miaka 4,000 hivi iliyopita.
Miaka hiyo si miaka mingi sana ya kukosa kuzielewa Pyramid hasa kiundani.
Hasa Ukilinganisha kuna vitu vingi tu vyenye zaidi ya miaka 10,000 na historia zake zinajulikana vizuri na maelezo ya kujitosheleza.
 
Bila kusahau Sudan, ndio yenye Pyramids nyingi kuliko nchi zote, kuizidi hata Misri
 
kama haya mambo yalikuwa yakwetu iweje hatujui na hatutengenezi tena hizo pyramid...?
 
so wapi kuna mis information..??
 
mh!
 
Mbona taarifa zipo wazi, kila kitu kiibwa na wazungu kwa manufaa yao

Taarifa zinaenda mbali kwa kueleza kuwa wazungu Hawa walipofika misri walishangazwa na mambo mengi yaliyofanywa na waafrika hao tena weusi

Ni kama Leo mtu ajiulize maswali kuhusu mansa mussa, au wale watawala weusi waliotawala ulaya miaka hiyo

Au jiulize story za farao ni za kweli? Utagundua ni zakupika kwa ajili ya wachache, hiyo tekinolojia ya kuhifadhi mwili ilikuwa miaka na miaka

Waafrika walikuwa watu wa mwanzo wenye ustaarab na walikuwa maeneo mengi sana ya Dunia

Tafuta historia vizuri ya mtu mweusi, japo utatakiwa kufanya kazi haswa
 
kwanini sasahivi hatuna hayo maajabu..??
 
We unadhani tungejijua toka kipindi kile life ingekuwaje, Kwanza tungekuwa na sayansi kuwashinda wao, tungekuwa na Uchumi au mali nyingi na utajiri kuwashinda wao pia hivi vita vya kisenge senge ili watu wafanye biashara za silaha zisingekuwepo na pia Haki ingesimama afu kungekuwa na Black supremacy ki2 ambacho ngozi nyeupe iliweka mikakati kuhakikisha hilo swala halitokei milele na milele...
 
hivyo wataka kusema tumelaghaiwa..?
 
hivyo wataka kusema tumelaghaiwa..?
Toka miaka hio broo ngozi nyeupe we ziangalie tuu ivii ivii ila wanatumindi kinoma noma kila siku tunaundiwa mikakat ya kupunguzwa bila wenyewe kujijua kuanzia vyakula, tecknolojia siasa kiuchumi mpk kiDini , tafakuri kdg tuu..
 
Kinachoshangaza pale zaidi ni Yale mawe yalivyopangwa kitaaalamu,pili lili jiwe moja ni kama IST Moja Sasa huwa najiuliza walipandishaje hayo mawe vile? Basi wanadamu wa zamani walikuwa na nguvu sana.Tatu hakujawahi kutwa miili yoyote mule yaani wale mafarao,Sasa nadhani Kuna mambo mengi sana nyuma hatufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…