Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

Walijenga kwa miaka 20 lile Pramidi kubwa pale Giza lanye tofali zaidi ya million 2
 
Isitoshe wataalum walipima nakugundua pyramid za pale misri zapata kuwepo miaka 4500 iliyopita!.. vilevile hao wa misri wao walikuwa wanadai waliyatengeneza kwaajili yakuzikia wafalme na malkia zao!, ama waweza sema royal family.
Hii coincidence vipi unaionaje?
How many years since the flood of Noah?
Acts & Facts. 37 (10): 4. The Flood at ~2472 B.C. + 2018 A.D. = ~4,500 years ago

Source: Google Search
 
Unajua Anunnak ni nadharia viumbe intelligent wa kale either walikua humanoid, reptiles au Jamii nyingine
Maana hata ukiangalia mabaki ya kale inaonesha kabisa hawa watu/viumbe walikua extra ordinary ukijilinganisha na sisi hivyo kwa gutimisho tufanye hiyo Race ni Allien maana bado hatujui walikuaje kuaje na Asili yao na mwanzo wa hayo maarifa makubwa walitoa wapi?
Kitendawili!
 
Hapana, Annunaki hawajajenga pyramids bali zilijengwa na Wamisri ambao kizazi chao kilikuja kupotea.
Walikuwa na vichwa virefu vinakwenda juu upande wa kisogoni ambao kwa sasa kizazi chao hakipo tena Misri
Annunaki siyo kabila bali ni miungu ya watu; miungu huwa haijengi
Nimrod ni engineer aliyewahi kujenga mnara wa Babeli; mnara ambao ni wa ajabu zaidi kuliko vitu vyote ambao vimeshawahi kuwepo hapa duniani
 
Mh! sitetei annunaki maana siamini sana kuhusu wao isipokuwa wenyewe kuitwa miungu ni kwasababu ya hao wanaoamini walimuumba binadamu!, na sawa na binadamu atengeneze robot hilo robot linaweza kumuita binadamu mungu!..
vilevile kuhusu sidhani kama semi yako yakusema miungu haijengi ni ya hakika sana!, kama waliweza kuishi hapa duniani waliishi vipi bila makazi ikiwa walikuwa na ustaarabu!, mchwa tu anajenga!.
Unafikiri nini kuhusu huo mnara wa babeli unahisi umbali uliopo mpk huko angani unahisi ni kweli ulijengwa huo mnara..?
 
Yeah ni kweli kizazi cha Wamisri Hiyo Race ya Wamisri wa kale wenye vichwa vikubwa hawakuwa pure Humanoid,
Na DNA zao hazi rank na Dunia yetu inaonesha hiyo Race ilitoka nje ya Dunia inaonesha walitoka mifumo ya Andromeda na Sirius A na B
Hata kabila la Dogon kule mali wanadai the pure ancient Egyptian walitoka sirius na ndio walileta tech kubwa hapo kale,

Babylon civilizations iliwataja Anunnak ni group of deits walikua visible na waliishi Kati yao na walikua advanced far than normal Humanoid!
 
Kumbuka Jamii zote za kale na wenye vinasaba na Jamii za kale kama Wahindi,Wamaya,Dogon nk
Wanadai kwamba ancient civilizations ilijengwa na Race tofauti na Humanoid na waliwaita miungu
Kule Misri god of science ni Thot,
Wamaya ni Quetzalcoatl,
Wahindi ni Krishna
Ila ukiangalia kwa umakini zile sites zote kuanzia Pyramids za Giza, Mexico na matemple ya India yamejengwa na kusanifiwa na mjenzi mmoja
Hiyo coincidence imetokeaje?
 
mi sijui hizo historia zakale zinachanganya sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…