Sie tunamcheka aliyetapeliwa si tapeli,wasukuma si watu wakuwaamini,canada nako katapeliwa msukuma fulani hivi kauziwa feni yeye alidhani ndegeHili la kumtapeli Rais wa nchi ni aibu na uhuni wa kupindukia, arobaini yake imefika Sasa!
Hukunielewa na huyo pia hujamuelewa kwamba yuko wrong kwenye kipengele gani. Kiufupi hatuko kwenye frequency moja. Endelea kusoma, ukielewa utajua uko wrong wapi.Yaani Mamndenyi anakuambia kua hiyo sindano hata kuchomwa haijachomwa bado, madokta au manesi wameigundishia tu kwenye mkono ili drip ikija ndio waichome,
Kumbe yawezekana huyu wastara yupo kinyerezi dispensary ila kamzuga msukuma wa misungwi au chato kuwa yuko india,Daaah!!,wasukuma washamba jamaniAcha kucomment pumba, ni bora kukaa kimya kuliko kutangaza umbumbu wako... watu wameumwa zaidi yake na watu wameuguza magonjwa makubwa zaidi yake. Kukatika mguu sio mwisho wa maisha watu wana cancer mpaka huruma. Huyu bi dada kujifanya yeye ndo mama sympathy muda wote na kuharibia wenzie ambao wana shida kweli.
Kabla hujatetea upuuzi kajielimishe mzunguko wa damu na uliza kwa wataalamu wa afya, pita google na you tube utafute cannula iliyochomekwa hiyo na kujazwa plasta namna hiyo.
Wajinga ndo waliwao na watu kama wewe ndo wakudanganywa hovyo hovyo.... unaleta hisia kwenye taaluma za watu? Penye ukweli usemwe huyu dada ni mpigaji asiyejua kutumia akili na maarifa.
Mchango wa rais ni kodi zetuSasa kwani wewe ulimchangia pia?
Anaumwa?Amekutapeli nn mkuu""" cha muhimu ni kupata huduma iliyobora ili afya yake iimalike haijalishi halipo
Elimu Elimu Elimu
Imeandikwa wapi?.. kwani hapokei mshahara?.. unayajua matumizi ya mshahara wake?..Mchango wa rais ni kodi zetu
Ukitaka hayo nenda jukwaa la elimuMnaacha kushupalia kuporomoka kwa elimu nchini na upatikanaji wa ajiraza uhakika zenye mikataba,mnakazi ya kufatilia visivyokuwa na maana.ndio maana tunatukanwa daily na wazungu. [HASHTAG]#Tubadilike[/HASHTAG] watanzania#