Acha kucomment pumba, ni bora kukaa kimya kuliko kutangaza umbumbu wako... watu wameumwa zaidi yake na watu wameuguza magonjwa makubwa zaidi yake. Kukatika mguu sio mwisho wa maisha watu wana cancer mpaka huruma. Huyu bi dada kujifanya yeye ndo mama sympathy muda wote na kuharibia wenzie ambao wana shida kweli.
Kabla hujatetea upuuzi kajielimishe mzunguko wa damu na uliza kwa wataalamu wa afya, pita google na you tube utafute cannula iliyochomekwa hiyo na kujazwa plasta namna hiyo.
Wajinga ndo waliwao na watu kama wewe ndo wakudanganywa hovyo hovyo.... unaleta hisia kwenye taaluma za watu? Penye ukweli usemwe huyu dada ni mpigaji asiyejua kutumia akili na maarifa.