Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Hili la kumtapeli Rais wa nchi ni aibu na uhuni wa kupindukia, arobaini yake imefika Sasa!
Sie tunamcheka aliyetapeliwa si tapeli,wasukuma si watu wakuwaamini,canada nako katapeliwa msukuma fulani hivi kauziwa feni yeye alidhani ndege
 
Yaani Mamndenyi anakuambia kua hiyo sindano hata kuchomwa haijachomwa bado, madokta au manesi wameigundishia tu kwenye mkono ili drip ikija ndio waichome,
Hukunielewa na huyo pia hujamuelewa kwamba yuko wrong kwenye kipengele gani. Kiufupi hatuko kwenye frequency moja. Endelea kusoma, ukielewa utajua uko wrong wapi.
 
Acha kucomment pumba, ni bora kukaa kimya kuliko kutangaza umbumbu wako... watu wameumwa zaidi yake na watu wameuguza magonjwa makubwa zaidi yake. Kukatika mguu sio mwisho wa maisha watu wana cancer mpaka huruma. Huyu bi dada kujifanya yeye ndo mama sympathy muda wote na kuharibia wenzie ambao wana shida kweli.
Kabla hujatetea upuuzi kajielimishe mzunguko wa damu na uliza kwa wataalamu wa afya, pita google na you tube utafute cannula iliyochomekwa hiyo na kujazwa plasta namna hiyo.
Wajinga ndo waliwao na watu kama wewe ndo wakudanganywa hovyo hovyo.... unaleta hisia kwenye taaluma za watu? Penye ukweli usemwe huyu dada ni mpigaji asiyejua kutumia akili na maarifa.
Kumbe yawezekana huyu wastara yupo kinyerezi dispensary ila kamzuga msukuma wa misungwi au chato kuwa yuko india,Daaah!!,wasukuma washamba jamani
 
Wadau wa Jamii Forums siku mbili zilizopita pamekuwa na habari zikieleza kwamba huenda Wastara hajaenda India kutokana na utata katika picha alizokuwa anatuma.

Hizi hapa ni picha zinazoonyesha yuko India akiendelea na matibabu.

Ukweli ni upi?
IMG-20180211-WA0038.jpg
 
Mnaacha kushupalia kuporomoka kwa elimu nchini na upatikanaji wa ajiraza uhakika zenye mikataba,mnakazi ya kufatilia visivyokuwa na maana.ndio maana tunatukanwa daily na wazungu. [HASHTAG]#Tubadilike[/HASHTAG] watanzania#
 
ukishamsaidia mtu usitake kujua msaada wako anautumiaje.
 
Mnaacha kushupalia kuporomoka kwa elimu nchini na upatikanaji wa ajiraza uhakika zenye mikataba,mnakazi ya kufatilia visivyokuwa na maana.ndio maana tunatukanwa daily na wazungu. [HASHTAG]#Tubadilike[/HASHTAG] watanzania#
Ukitaka hayo nenda jukwaa la elimu
 
Back
Top Bottom