Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Mbombo ngafu bongo movie wanaigiza mpaka afya zao anawaharibia wenzie ambao kweli wanahitaji msaada yaani siamini kampiga mpaka baba jesca [emoji23][emoji23]
 
Kilichomuumbua ni canula kuelekea chini vidoleni baada ya kuelekea juu kwenye mabega,na La kuifuta post haraka baada ya kuona kaumbuka,
Na kwanini kafuta hiyo post?... Shule muhimu sana!

Alitakiwa aidefense picha yake kuonesha ukweli,sasa hapo kaharibu anaonekana muongo, bongo movie!

Hela angu inaniuma!
 
Hiyo canulla imegeuzwa toka lini dawa inatiririka kwenda kwenye vidole???pole kwa kuumwa kwake bt ka hizo hela anafanyia mambo mengne na sio kutibiwa basi asidanganye uma na ndio maana watu wanakasirika
Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
 
Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Je, ni mgonjwa kweli, au?

Au una visa naye?

Kwamba unasema Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost, basi hizo picha ulizoweka bila ufafanuzi, hazina maana kabisa.
 
Sijawahi kupatwa na huruma ya kumchangia huyu dada. Sijui kwa nini. Poleni mlotapeliwa
 
HEBU TUANZE NA HIYO LOGO HAPO ILI TUJUE NI YA KAMPUNI GANI...
JE NI LOGO YA HOSPITAL..??, HOTELI..?? AU KAMPUNI INAYOTENGENEZA NGUO BAADA YA HAPO TUENDELEE NA MJADALA...

Hebu tueleweshen vzr, mbona mnaandika andika kama vile kila mtu anajua kilichojiri.
 
Ww mama acha kujitoa ufahamu unajua flow ya damu ilivyo?? Canulla tangu lini inaelekea vidoleni??
- Na unapobisha ujue unachobisha ni niini?
Weka picha hata ya MTU mmoja ambae canula inaelekea vidoleni nijiondoe jf
Picha si hiyo wa wastara!! Jiondoe tu!!!
 
Wakati mwingine hiyo sindano inakuwa imetulizwa tu hapo ikingojea drip.
 
HEBU TUANZE NA HIYO LOGO HAPO ILI TUJUE NI YA KAMPUNI GANI...
JE NI LOGO YA HOSPITAL..??, HOTELI..?? AU KAMPUNI INAYOTENGENEZA NGUO BAADA YA HAPO TUENDELEE NA MJADALA...

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Hatari sana
 
Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na kwanini kafuta hiyo post?... Shule muhimu sana!

Alitakiwa aidefense picha yake kuonesha ukweli,sasa hapo kaharibu anaonekana muongo, bongo movie!

Hela angu inaniuma!
Yanii kufutaa pichaa ndo alizingua zaidii
 
Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
Shida ni uelekeo mama.... jiulize kwanini kakimbilia kufuta picha baada ya kukosolewa?? Juzi kati aliweza kutetea maneno mengi aliyotupiwa yasiyokua na ushahidi... leo yeye ndo mwenye ushahidi anakimbilia kuufuta...think again!!!
 
Je, ni mgonjwa kweli, au?

Au una visa naye?

Kwamba unasema Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost, basi hizo picha ulizoweka bila ufafanuzi, hazina maana kabisa.
Hizoo zilichukuliwaa kabla hajafuta...internet never forget
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…