Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Sijui huyu Dada ana gundu la wapi.
Anajilogaa mwenyewee angekuwa mkwelii asingepata shida za kuumbuka kiasi hichii... Kwadanganya WATU MIL 50 na Rais wao si mchezo
 
HEBU TUANZE NA HIYO LOGO HAPO ILI TUJUE NI YA KAMPUNI GANI...
JE NI LOGO YA HOSPITAL..??, HOTELI..?? AU KAMPUNI INAYOTENGENEZA NGUO BAADA YA HAPO TUENDELEE NA MJADALA...



Haaa ha....
 
Sijui huyu Dada ana gundu la wapi.
Ana kipaji kikubwa cha uigizaji, ameweza kumdanganya Rais wa nchi aisee!

Nashauri Rais wetu kupitia nafasi yake amfanyie mpango huyu dada akaigize Hollywood USA, hope kwa kipaji chake watampokea
 
Msifatilie yasiyo wahusu... Hata hamkuchangia...
 
E="Mamndenyi, post: 25722090, member: 41512"]Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.[/QUOTE]
Wacha wee aisee
 
Ana kipaji kikubwa cha uigizaji, ameweza kumdanganya Rais wa nchi aisee!

Nashauri Rais wetu kupitia nafasi yake amfanyie mpango huyu dada akaigize Hollywood USA, hope kwa kipaji chake watampokea
Haa ha ha...shida sanaa!! Wastar komesha
 
Hizoo zilichukuliwaa kabla hajafuta...internet never forget
Laiti ungeweka na hizo alizofuta ungeeleweka. Kutokufanya hivyo, ni uzushi na upotofu kuleta mada kama hiyo, isiyojitosheleza
 
Wallai mzee wa chato kaingizwa mjini big no,

ataunda katume kadogo ka kuchunguza haya madai team itakuwa ya watu zaidi ya watu 5 ikiongozwa na:
1. Prof Kabudi
2. Prof Ossoro
3.JWTZ
4. TISS
5. Jeshi na polisi

Haiwezekani rais atapeliwe sis raia wa kawaida itakuaje?
 
Laiti ungeweka na hizo alizofuta ungeeleweka. Kutokufanya hivyo, ni uzushi na upotofu kuleta mada kama hiyo, isiyojitosheleza
Alifutaa hiyoo iliyounganiswa hapoi na nyinge mojaaa ikionesha cannula ilivyowekwaa sivyoo
 
Hivi Ww Unafikiri hela alizotoa Rais zilikatwa kwny mshahara wake? Au alitoa pesa zetu walipa kodi?

Bichwa lako[emoji274]
Haa ha...mwambiee huyoo anadhani Magu falaa atoe mshahara wake
 
Dah, hii balaa. Milioni kumi yetu imepotea kijinga! Aaah, sorry, ni 10m ya Rais na mkewe!!! Tehe tehe, tehe.
badala ya kuhoji anatibiwa wapi? binadamu mnaanza kumuhukumu......wastara sio nurse wala dr yawezekana hospital anayopata tiba ndio majanga so sisi kama watanzania tunapashwa kujua ili aende hospital nzuri zenye wahudumu wenye weledi.....wastara hawezi jiwekea cannula bana
 
Hajajiwekaaa...kategeshewaa tuu ilii apige pichaa atumee kuridhisha watuu...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…