issue sio kuzingua ila tumuulize wastara hii tiba anapata wapi? hii ndio itakuwa pivot yetu ya kuendelea na huu mjadala otherwise tunamuoneaHaaaa.. Wee jamaa unazinguaa...!! Ndo maana doctor wa Bongo anaweza fanya kazii sehemu popotr palee sababu Njia za utoaji matibabu kwa magonjwa Mengi ni mojaaa!! Sasa wew hiyo drip iwekwee cannula inaelekea kweny Vidolee maana ake dawaa inaenda kwenye Kucha au!???
Ofcoz haina faida lakini katika maisha haya Usifanyee jambo flani la ubayaa ukitegemea wengine watakuchekea na wakukukosoa na kukulaumu atakua yule tu uliemfanyia huo ubayaa.......!! Kwani wew ukapita njiani ukakuta mmama flani kaibiwa na kibaka ukaanza kumkimbiza ukamsaidia akapata mkoba wake wee huyo mama unamjua???? Anafaida gani na wew???Cbish kwa7b hata nikiunga mkono hoja cfaidk na kitu boss.Angalia mkono miwil ya upande WA kulia,linganisha na mkon WA wastara,ndo maana nkasema hii yote mkono wa wastara?.
NB:Wastara naamfaham na hainafaida kumwelezea yeye n nan kwang au kwako.
Wastaraa Yupoo INDIAAA KAENDA JUZII KWA AJILI YA MATIBABUUUUU...!! Sasaa unataka kunambia India cannula wanaweka hivyo??? Manesi wanavaa hizo nguo za kijani za nesi assistant wa bongo???issue sio kuzingua ila tumuulize wastara hii tiba anapata wapi? hii ndio itakuwa pivot yetu ya kuendelea na huu mjadala otherwise tunamuonea
Usahihi w kuinsert cannula na ubatili wa cannula ya wastaraCbish kwa7b hata nikiunga mkono hoja cfaidk na kitu boss.Angalia mkono miwil ya upande WA kulia,linganisha na mkon WA wastara,ndo maana nkasema hii yote mkono wa wastara?.
NB:Wastara naamfaham na hainafaida kumwelezea yeye n nan kwang au kwako.
Problem sio wapi ilipowekwa tatzo imegeuzwa hiyo cannula hata ka mshipa wangepata kwenye kidole hiyo canula isingewekwa hivvyo ...may b huelewi bt nakuonaga mamndenyi upo smart staki amini ka kakitu kadogo hako huelewi duu.Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
Hiyo mikono mingine ni kuonesha hicho kifaa kinavyoingizwa tofauti na wastaraMkuu naona mikono ya watu 2 tofauti hapo.M1 uko kama mzungu Mzee ,mwengne uko kama mwafrika kijana.(Inawwzekana mkono m1 c wa wastara)
Basic feature of science is universalityHapanaa... Maana tunafanya hivyo kiscience na ni lazimaa iwee hivyo ili dawaa iingie...
mkuu unafua nguo za jumuiya ninikama wasukuma ndio washamba basi ushamba wao wanaendesha nchi na wewe mjanja umenyooka na bado mshamba ataendelea kukuongoza huyo huyo msukuma ndio mkuu wako wa mkoa anaemsaidia baba yako kadhulumiwa ardhi huyo huyo unamwita mshamba kakuletea meli na madaktari wajomba zako wote wameenda kuchekiwa na kutibiwa wewe ndio mjaja kukaa kwenye kahawa
Uwezo wa akili yake ni mdogo huwezi kudanganya hilo coz dunia ni kijiji.Mkuu
I really feel sorry for her kukatwa mguu, niwe mkweli Katika Hilo.
Tatizo linapokuja ni kudanganya Umma ikiwemo serikali kuwa anaenda kutibiwa kumbe anaenda kufanya shopping.
This is too bad
Obviously , lakin cjaona uhusiano wa mfano wako na hili la wastara.Kwan we we unaishahd gan kuwa ametapeli na hatibiwi? Ila Usitumie HISIA kujipepeà mwenyew kuwa UKO SAHIHI.[Utakuwa mfuas wa yule bint Kmamb]Ofcoz haina faida lakini katika maisha haya Usifanyee jambo flani la ubayaa ukitegemea wengine watakuchekea na wakukukosoa na kukulaumu atakua yule tu uliemfanyia huo ubayaa.......!! Kwani wew ukapita njiani ukakuta mmama flani kaibiwa na kibaka ukaanza kumkimbiza ukamsaidia akapata mkoba wake wee huyo mama unamjua???? Anafaida gani na wew???
Obviously , lakin cjaona uhusiano wa mfano wako na hili la wastara.Kwan we we unaishahd gan kuwa ametapeli na hatibiwi? Ila Usitumie HISIA kujipepeà mwenyew kuwa UKO SAHIHI.[Utakuwa mfuas wa yule bint Kmamb]Ofcoz haina faida lakini katika maisha haya Usifanyee jambo flani la ubayaa ukitegemea wengine watakuchekea na wakukukosoa na kukulaumu atakua yule tu uliemfanyia huo ubayaa.......!! Kwani wew ukapita njiani ukakuta mmama flani kaibiwa na kibaka ukaanza kumkimbiza ukamsaidia akapata mkoba wake wee huyo mama unamjua???? Anafaida gani na wew???
Asante mkuu.Kwa kuleweshana maana nilikuwa nashangaa mkono 1 tofauti.Usahihi w kuinsert cannula na ubatili wa cannula ya wastara
Nadhani umeelewa yaani upate kuona tofauti mbili
Kwanza kuunga mkono kitu chochote sio lazima uwe na faida nacho! Haya mawazo tunayo sisi wabongo na ndio maana unakuta mtu anatendewa uovu lakini wengine wanakaa kimya kwasababu wanafikiri haiwahusu. Halfu kwenye mada. Hiyo mikono mingine imewekwa kama reference tu ili kuonyesha njia sahihi ya kuweka canulla na siyo kama ni mikono yake. Usidandie train kwa mbele na ukitaka kuelewa thread usiinzie katikati tena kwa ubishi. Anza mwanzo!Cbish kwa7b hata nikiunga mkono hoja cfaidk na kitu boss.Angalia mkono miwil ya upande WA kulia,linganisha na mkon WA wastara,ndo maana nkasema hii yote mkono wa wastara?.
NB:Wastara naamfaham na hainafaida kumwelezea yeye n nan kwang au kwako.
Haa ha ha...kumbe unamchukia Mange mzee ndo kujidai etii oohoo sijui inahusu nin..!! Ebuu kitulizee hukoo kama haikuhusu unakuja kuchangia nin hapaa...Obviously , lakin cjaona uhusiano wa mfano wako na hili la wastara.Kwan we we unaishahd gan kuwa ametapeli na hatibiwi? Ila Usitumie HISIA kujipepeà mwenyew kuwa UKO SAHIHI.[Utakuwa mfuas wa yule bint Kmamb]
Wengii wanadandia trenii kwa mbelee ndo wanadhani tunawivu nae sijuii...tunamuonea kumbee tunasema hali halisi..!! AACHE MAISHA YA KUIGIZAAAKwanza kuunga mkono kitu chochote sio lazima uwe na faida nacho! Haya mawazo tunayo sisi wabongo na ndio maana unakuta mtu anatendewa uovu lakini wengine wanakaa kimya kwasababu wanafikiri haiwahusu. Halfu kwenye mada. Hiyo mikono mingine imewekwa kama reference tu ili kuonyesha njia sahihi ya kuweka canulla na siyo kama ni mikono yake. Usidandie train kwa mbele na ukitaka kuelewa thread usiinzie katikati tena kwa ubishi. Anza mwanzo!
[emoji1] [emoji1] aiseee...nmeanzia thread katikati doooh.Pole kijana.Kwanza kuunga mkono kitu chochote sio lazima uwe na faida nacho! Haya mawazo tunayo sisi wabongo na ndio maana unakuta mtu anatendewa uovu lakini wengine wanakaa kimya kwasababu wanafikiri haiwahusu. Halfu kwenye mada. Hiyo mikono mingine imewekwa kama reference tu ili kuonyesha njia sahihi ya kuweka canulla na siyo kama ni mikono yake. Usidandie train kwa mbele na ukitaka kuelewa thread usiinzie katikati tena kwa ubishi. Anza mwanzo!
Wastara yeye hiyo cannula aliwyoweka mkononi inageukiaa kuelekea kwenye Vidolee akati Njia sahihi kabisa ilibidi Hicho kidude kigeukie upande mwingne kama haoo wengine... So kiufupii hakuma Hospital Duniani inaweza mwekea drip mtu kwa njia hiyooo