Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Haaaa.. Wee jamaa unazinguaa...!! Ndo maana doctor wa Bongo anaweza fanya kazii sehemu popotr palee sababu Njia za utoaji matibabu kwa magonjwa Mengi ni mojaaa!! Sasa wew hiyo drip iwekwee cannula inaelekea kweny Vidolee maana ake dawaa inaenda kwenye Kucha au!???
issue sio kuzingua ila tumuulize wastara hii tiba anapata wapi? hii ndio itakuwa pivot yetu ya kuendelea na huu mjadala otherwise tunamuonea
 
Cbish kwa7b hata nikiunga mkono hoja cfaidk na kitu boss.Angalia mkono miwil ya upande WA kulia,linganisha na mkon WA wastara,ndo maana nkasema hii yote mkono wa wastara?.
NB:Wastara naamfaham na hainafaida kumwelezea yeye n nan kwang au kwako.
Ofcoz haina faida lakini katika maisha haya Usifanyee jambo flani la ubayaa ukitegemea wengine watakuchekea na wakukukosoa na kukulaumu atakua yule tu uliemfanyia huo ubayaa.......!! Kwani wew ukapita njiani ukakuta mmama flani kaibiwa na kibaka ukaanza kumkimbiza ukamsaidia akapata mkoba wake wee huyo mama unamjua???? Anafaida gani na wew???
 
Wastaraa Yupoo INDIAAA KAENDA JUZII KWA AJILI YA MATIBABUUUUU...!! Sasaa unataka kunambia India cannula wanaweka hivyo??? Manesi wanavaa hizo nguo za kijani za nesi assistant wa bongo???
 
Kuna kauli moja aliitoa Steve nyerere baada ya baba jesca kutoa ule wadhifa nanukuu " wastara anatakiwa kubadilika watu wameonesha kuguswa na ugonjwa wake" sasa nikajiuliza anatikiwa kubadilika nn kumbe Steve anajua
 
Cbish kwa7b hata nikiunga mkono hoja cfaidk na kitu boss.Angalia mkono miwil ya upande WA kulia,linganisha na mkon WA wastara,ndo maana nkasema hii yote mkono wa wastara?.
NB:Wastara naamfaham na hainafaida kumwelezea yeye n nan kwang au kwako.
Usahihi w kuinsert cannula na ubatili wa cannula ya wastara

Nadhani umeelewa yaani upate kuona tofauti mbili
 
kama wasukuma ndio washamba basi ushamba wao wanaendesha nchi na wewe mjanja umenyooka na bado mshamba ataendelea kukuongoza huyo huyo msukuma ndio mkuu wako wa mkoa anaemsaidia baba yako kadhulumiwa ardhi huyo huyo unamwita mshamba kakuletea meli na madaktari wajomba zako wote wameenda kuchekiwa na kutibiwa wewe ndio mjaja kukaa kwenye kahawa
mkuu unafua nguo za jumuiya nini
 
Mkuu
I really feel sorry for her kukatwa mguu, niwe mkweli Katika Hilo.

Tatizo linapokuja ni kudanganya Umma ikiwemo serikali kuwa anaenda kutibiwa kumbe anaenda kufanya shopping.

This is too bad
Uwezo wa akili yake ni mdogo huwezi kudanganya hilo coz dunia ni kijiji.
Nilikujibu hasa wewe kusema huwa kila ukiona picha yake analia
 
Ofcoz haina faida lakini katika maisha haya Usifanyee jambo flani la ubayaa ukitegemea wengine watakuchekea na wakukukosoa na kukulaumu atakua yule tu uliemfanyia huo ubayaa.......!! Kwani wew ukapita njiani ukakuta mmama flani kaibiwa na kibaka ukaanza kumkimbiza ukamsaidia akapata mkoba wake wee huyo mama unamjua???? Anafaida gani na wew???
Obviously , lakin cjaona uhusiano wa mfano wako na hili la wastara.Kwan we we unaishahd gan kuwa ametapeli na hatibiwi? Ila Usitumie HISIA kujipepeà mwenyew kuwa UKO SAHIHI.[Utakuwa mfuas wa yule bint Kmamb]
 
Ofcoz haina faida lakini katika maisha haya Usifanyee jambo flani la ubayaa ukitegemea wengine watakuchekea na wakukukosoa na kukulaumu atakua yule tu uliemfanyia huo ubayaa.......!! Kwani wew ukapita njiani ukakuta mmama flani kaibiwa na kibaka ukaanza kumkimbiza ukamsaidia akapata mkoba wake wee huyo mama unamjua???? Anafaida gani na wew???
Obviously , lakin cjaona uhusiano wa mfano wako na hili la wastara.Kwan we we unaishahd gan kuwa ametapeli na hatibiwi? Ila Usitumie HISIA kujipepeà mwenyew kuwa UKO SAHIHI.[Utakuwa mfuas wa yule bint Kmamb]
Usahihi w kuinsert cannula na ubatili wa cannula ya wastara

Nadhani umeelewa yaani upate kuona tofauti mbili
Asante mkuu.Kwa kuleweshana maana nilikuwa nashangaa mkono 1 tofauti.
 
Cbish kwa7b hata nikiunga mkono hoja cfaidk na kitu boss.Angalia mkono miwil ya upande WA kulia,linganisha na mkon WA wastara,ndo maana nkasema hii yote mkono wa wastara?.
NB:Wastara naamfaham na hainafaida kumwelezea yeye n nan kwang au kwako.
Kwanza kuunga mkono kitu chochote sio lazima uwe na faida nacho! Haya mawazo tunayo sisi wabongo na ndio maana unakuta mtu anatendewa uovu lakini wengine wanakaa kimya kwasababu wanafikiri haiwahusu. Halfu kwenye mada. Hiyo mikono mingine imewekwa kama reference tu ili kuonyesha njia sahihi ya kuweka canulla na siyo kama ni mikono yake. Usidandie train kwa mbele na ukitaka kuelewa thread usiinzie katikati tena kwa ubishi. Anza mwanzo!
 
Obviously , lakin cjaona uhusiano wa mfano wako na hili la wastara.Kwan we we unaishahd gan kuwa ametapeli na hatibiwi? Ila Usitumie HISIA kujipepeà mwenyew kuwa UKO SAHIHI.[Utakuwa mfuas wa yule bint Kmamb]
Haa ha ha...kumbe unamchukia Mange mzee ndo kujidai etii oohoo sijui inahusu nin..!! Ebuu kitulizee hukoo kama haikuhusu unakuja kuchangia nin hapaa...
 
Kwanza kuunga mkono kitu chochote sio lazima uwe na faida nacho! Haya mawazo tunayo sisi wabongo na ndio maana unakuta mtu anatendewa uovu lakini wengine wanakaa kimya kwasababu wanafikiri haiwahusu. Halfu kwenye mada. Hiyo mikono mingine imewekwa kama reference tu ili kuonyesha njia sahihi ya kuweka canulla na siyo kama ni mikono yake. Usidandie train kwa mbele na ukitaka kuelewa thread usiinzie katikati tena kwa ubishi. Anza mwanzo!
Wengii wanadandia trenii kwa mbelee ndo wanadhani tunawivu nae sijuii...tunamuonea kumbee tunasema hali halisi..!! AACHE MAISHA YA KUIGIZAAA
 
Kwanza kuunga mkono kitu chochote sio lazima uwe na faida nacho! Haya mawazo tunayo sisi wabongo na ndio maana unakuta mtu anatendewa uovu lakini wengine wanakaa kimya kwasababu wanafikiri haiwahusu. Halfu kwenye mada. Hiyo mikono mingine imewekwa kama reference tu ili kuonyesha njia sahihi ya kuweka canulla na siyo kama ni mikono yake. Usidandie train kwa mbele na ukitaka kuelewa thread usiinzie katikati tena kwa ubishi. Anza mwanzo!
[emoji1] [emoji1] aiseee...nmeanzia thread katikati doooh.Pole kijana.

Nkushauri tu RUDI FUATILIA CONVO ZILIVYOANZA MM NA NILIYE REPLY.
Wastara Mke WA marehem Sajuk namfaham ,Mke wa mbunge yule namfaham,recently mange alipost insh kama hyo ,lakin cjaona mantik yako hasa ni ni?

NB😀on't be too curiously,for curious man pledged to death
 
Wastara yeye hiyo cannula aliwyoweka mkononi inageukiaa kuelekea kwenye Vidolee akati Njia sahihi kabisa ilibidi Hicho kidude kigeukie upande mwingne kama haoo wengine... So kiufupii hakuma Hospital Duniani inaweza mwekea drip mtu kwa njia hiyooo

Tatizo Wabongo tushashikwa akili na mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom