chinatown
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,232
- 1,105
issue sio kuzingua ila tumuulize wastara hii tiba anapata wapi? hii ndio itakuwa pivot yetu ya kuendelea na huu mjadala otherwise tunamuoneaHaaaa.. Wee jamaa unazinguaa...!! Ndo maana doctor wa Bongo anaweza fanya kazii sehemu popotr palee sababu Njia za utoaji matibabu kwa magonjwa Mengi ni mojaaa!! Sasa wew hiyo drip iwekwee cannula inaelekea kweny Vidolee maana ake dawaa inaenda kwenye Kucha au!???