Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Haya mambo hayawezi kukosewa hata siku moja nikupe mfano mdogo tu; MTU yeyote anayejua kusoma hawezi soma amegeuza kitabu vivyo hivyo cannula haiwezi kuwekwa hivyo hata siku moja.
 
Eee si mlikataa kimchangia LISU, lazima mliwe kwenye kekundu. Alaah akbal.
 
Labda uulize mantiki ya thread! Ni kuonyesha mshangao jinsi hizo kanulla zilivyowekwa na kuhoji uhalali wake. Wakati anaomba msaada wa kwenda kutibiwa alipost kwenye Internet na akachangiwa na watu mbalimbali. Amefika anakodai ni hospital akapost picha yenye utata! Unataka watu wasiulize? Ukitaka watu wasihoji basi mshauri asipende kukimbilia kwneye internet.
 
Alitakaa tusifieee tuu akati anatupotezaa maboyaa... TZ anatuchukulia poaa yanii kwamba tunakubali kila kituu ka manyumbu..tapeli yule
 
Hajajiwekaaa...kategeshewaa tuu ilii apige pichaa atumee kuridhisha watuu...!!

Kwahiyo mkuu hiyo picha kapiga akiwa wapi?

Wewe ni mtalaamu wa afya hadi ukajua kuwa kakosea kuweka hicho kidude?
 
Inasikitisha sana...
Kama hizi taarifa ni za kweli...

Alijua dhamira yake, ila hakutegemea kama Rais atajitolea nae kumsaidia...


Cc: mahondaw
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Unatuumiza vichwa kwa sababu anaomba michango.
 
Duuh..., kaibandika hiyo IV hovyo hovyo kama wanafunga kidonda sijui....
 
Hahaha nilishangaa Wastara kuchangiwa mamilioni kwani hana bima ya afya ile ya NHIF?!
Sisi tunaambiwe hata kwa vukundi tupate Bima.
 
Kwa kweli km hiyo pcha ina uhalisia then hakuna kificho tena kwamba waliochangia wameliwa akiwemo mkulu!!!!
 
Kuna mwingine humu nae kaomba Msaaada.. kafukuzwa kazi.. wakati huo ana dependant kibao.. mama yake +HIV na wadogo zake anasomesha.. usawa huu mnaujua ..


ee mungu tupe macho ya rohoni..



cc Smart911
 
Kwahiyo mkuu hiyo picha kapiga akiwa wapi?

Wewe ni mtalaamu wa afya hadi ukajua kuwa kakosea kuweka hicho kidude?
Hilo Jambo kujua haiitaji Uwe na masters...
 
Safi sana Wastara, hiyo ndiyo maana halisi ya kuwa muigizaji, umeweza kuuvaa uhusika vilivyo, umetawala jukwaa vema sana. (kumpiga hadi namba one milioni kumi sio mchezo)

Tatizo lenu bongo movie huwa katika umaliziaji wa filamu zenu, movie itaanza vema kabisa, wahusika, location, sound, ila inapokuja katika muendelezo wa story ndipo tatizo huja.

Sasa wewe ulishindwa kitu gani kumalizia kipande kilichobakia? Kwa milioni 43 ulitakiwa kufumba macho tu ili milioni tano ziishe movie iishe kwa mafanikio.

Msiwe wabahili, Uandike wewe scripts, u-direct wewe, uwe main character wewe, upambe wewe, location manager wewe puuh! Lazima Canulla uiweke juu chini!

Badilikeni na hakika mtauza tu hadi kwa mheshimiwa rais na mkewe tena zaidi ya milioni kumi. (ila dada noma, umempiga hadi mkulu? Pamoja na mikwara yote ile kwa taifa! [emoji16][emoji16][emoji16])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…