enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Haya mambo hayawezi kukosewa hata siku moja nikupe mfano mdogo tu; MTU yeyote anayejua kusoma hawezi soma amegeuza kitabu vivyo hivyo cannula haiwezi kuwekwa hivyo hata siku moja.badala ya kuhoji anatibiwa wapi? binadamu mnaanza kumuhukumu......wastara sio nurse wala dr yawezekana hospital anayopata tiba ndio majanga so sisi kama watanzania tunapashwa kujua ili aende hospital nzuri zenye wahudumu wenye weledi.....wastara hawezi jiwekea cannula bana