Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
hatujui vipaumbele vyetu mkuuKwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo.
Kuna Dada a
Nimesahau nilikuwa nataka kusema nini, haya thread hiyo tiyari.
Godlisten Malisa anafanya vizuri naweza kuchangia Gifted heart foundation.Insta kuna makundi mengi. Wapo hao wanaowachangia akina diva na wapo wanaochangia wahitaji wengine. Juzi niliona mtu kapost anaingia getini kwake nje kuna mtoro wa form 1 anasoma kwa kutumia taa ya fence ya huyo jamaa(mtoto kwao hawana umeme) jamaa aliguswa na wengi walioona hio post waliguswa wakaanza kumchangia huyo mtoto na mama yake. Hio pia ni instagram.
kwamba land of opportunities ni myth?Wataalamu wa saikolojia na mambo ya uchumi wanakuambia umasikini ni mindset
Waliomchangia Diva wana akili zinazofanana naye za Ki-Bipolar.Kwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo.
Kuna Dada anajiita Diva ni binti wa Malinzi ana mashauzi kama yote isitoshe amepanga Masaki.
Sasa kituko anadaiwa kodi ya miezi mwenye mjengo kaja juu, Dada wa watu kwa kutambuwa ana utajili wa misukule inayojurikana kama followers ndani ya masaa tu huyu dada kakusanya karibu million 10 na miahala inaendelea kutumwa kumsaidia kodi Masaki wakati Buza kuna appartment nzuri sana za laki tano.
Sasa hapa ndio najiuliza Wabongo wenzangu, hivi huu umaskini wetu ni kweli sisi maskini au hatujaangalia vipaumbe vyetu viwe nini?
Ni kwa nini harambee hizi za ada matibabu na mitaji?
Hivi unamsaidia mtu kama Diva unategemea chochote kwa Mungu kwamba umetenda jema? Hapo mnajidanganya sana, binafsi.siwezi kumchangia mtu kama huyo tajili wa Instagram.
Nimesahau nilikuwa nataka kusema nini, haya thread hiyo tiyari.
Malinzi unayemsemea ni yupi mkuuDiva kumbe ni mtoto wa Mzee Malinzi na yule engineer Malinzi baba yao mkubwa Tajiri ndio hao hao sio ok wacha matajiri wastaafu wachangiane bhana zikizidi kodi wanaweka party ya kula bata..
Na cha kushangaza huwa anatukana hao hao ng'ombe zake kuwa yeye sio masikini kama wao yeye anaishi maisha anaweza hadi kulisha familia zao.Unaishi masaki kodi huna eeenhhh kazi kweli kweli.
Yule alikua Yanga na baadae TFF akaenda jela kwa maelezo niliyosikia kutoka kwa mtoa nyuzi walikua na ndugu yao alikua njema sana miaka ya nyuma huyu mdogo alikua anamtumia kama nguzo ya kuomba kazi sehemu nyingi hata kupata uongozi Yanga ingawaje alikua hamna kitu anaweza..Malinzi unayemsemea ni yupi mkuu
Nop, huyu kama ni kweli Baba yake mzazi (Maana mimi sina imani kabisa na huyu binti) ni Deoniz Malinzi wa Cargo Star shipping Agency na siyo Jamal Malinzi wa Yanga ingawa ni mtu na mdogo wake, Dioniz Malinzi ni mnazi wa Simba high profile anayemantain low profile.Yule alikua Yanga na baadae TFF akaenda jela kwa maelezo niliyosikia kutoka kwa mtoa nyuzi walikua na ndugu yao alikua njema sana miaka ya nyuma huyu mdogo alikua anamtumia kama nguzo ya kuomba kazi sehemu nyingi hata kupata uongozi Yanga ingawaje alikua hamna kitu anaweza..