BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Hapa nakubaliana na wewe, wengi hatukumuelewa Waziri mkuu Majaliwa alipowapiga stop huyu Diva na Niffer wasichangishe michango ya maafa na wareport Polisi mara moja wengi tulidhani Majaliwa anawaonea gere kumbe Majaliwa alikuwa mbele ya muda, rangi zake halisi ndio zinaonekana sasa, yule mwenzake Niffer alishaitumia misukule yake vizuri sasa hivi pesa anayo, Diva ndio imekula kwake.Umasikini unaanza kichwani, Huyo dada simfahamu ila atakuwa ni tajiri, maana ametumia akili kushawishi wajinga wampe pesa na yeye anaendelea kutajirika huko instagram. Kesho unamkuta kwenye jukwaa la super woman.
Kwa sababu unaliwa mavi basi muda wote unawaza mavi tu.Angalau leo Dokta MATOLA MAVI umeandika japo kapoint kidogo.
Siku zote wewe ni mtu wa pumba tu, sijui nani alikupa huo udokta wa mavi?
Hivi we mshamba huo udokta ulipewa na nani kwanza?Kwa sababu unaliwa mavi basi muda wote unawaza mavi tu.
Nyinyi machoko wote tumewakabidhi kwa Mamba 24 ndio size yenu anawapelekea moto mpaka pampers zitawavuka.
Mimi nilikuwa nashangaa mbona biashara ya pampers imekuwa kubwa kumbe mpo machoko kibao migongo imeoza.
Huyo Cargo star si tajiri aisee kuliko hata Malinzi wa Yanga kitambo sana labda kama sio ndugu zake hao.Nop, huyu kama ni kweli Baba yake mzazi (Maana mimi sina imani kabisa na huyu binti) ni Deoniz Malinzi wa Cargo Star shipping Agency na siyo Jamal Malinzi wa Yanga ingawa ni mtu na mdogo wake, Dioniz Malinzi ni mnazi wa Simba high profile anayemantain low profile.
Dioniz Malinzi yupo Super miaka mingi ndio nashangaa kundi la misukule ya Insta kumchangia huyo bibie ambaye kimsingi angeishi kwao tu.
Huyo wa Cargo Star Dioniz Malinzi ndio anajitambulisha ni Baba yake Mzazi, tunaomjuwa Dioniz Malinzi ni mshuwa Kitambo tu.Huyo Cargo star si tajiri aisee kuliko hata Malinzi wa Yanga kitambo sana labda kama sio ndugu zake hao.
Basi atakua mtoto wa nje labda maana huyo wa Cargo Star ni tajiri zaidi ya huyu wa Malinzi wa yanga..Huyo wa Cargo Star Dioniz Malinzi ndio anajitambulisha ni Baba yake Mzazi, tunaomjuwa Dioniz Malinzi ni mshuwa Kitambo tu.
Kama kuna ukweli i think Malinzi aliruka na Mama yake Diva kama mchepuko ndio akazaliwa huyo Diva, maana hana DNA ya Kihaya.
Hakunaga muhaya mwenye Channel akawa boya kama huyu.
Sasa ndio unaweza kuona wazi kwa nini hata Wasafi ameshindwa kwenda sawa na Diamond wakati kuna watu wanapiga maisha kwa Diamond kwa uchawa tu.
Huyu Dada iko shida kubwa kichwani.
Possibly.Basi atakua mtoto wa nje labda maana huyo wa Cargo Star ni tajiri zaidi ya huyu wa Malinzi wa yanga..
Hivo hivo ulivosema misukule imejaa nchi hii.Nimesahau nilikuwa nataka kusema nini, haya thread hiyo tiyari.
Hilo wigi tu huku kijijini unaweza ukaanzisha ufugaji wa kuku na ukaishi bila tabu.Possibly.
View attachment 3676945
Wewe unashangaa wigi? Angalia misukule yake mikubwamikubwa hii, hapo kuna wa laki mbilimbili pia.Hilo wigi tu huku kijijini unaweza ukaanzisha ufugaji wa kuku na ukaishi bila tabu.
Ww mtetea mashoga umekuja humu tena.Angalau leo Dokta MATOLA MAVI umeandika japo kapoint kidogo.
Siku zote wewe ni mtu wa pumba tu, sijui nani alikupa huo udokta wa mavi?
Huyo siyo mtetezi, yeye mwenyewe anapigwa miti.Ww mtetea mashoga umekuja humu tena.
Na alivyo zero brain kapost anaenda Mikumi National park kupumzika baada ya kupata nyumba ingine😀😀😀Godlisten Malisa anafanya vizuri naweza kuchangia Gifted heart foundation.
Lakini siyo hawa matajili wa Insta wiki hii tajiri, wiki ijayo yuko hotel ya kitalii dinner, then Baba mwenye mjengo akidai kodi yake anarudi kulia Insta nakumtag mpaka mama Samia.
Siku zote tumekuwa tunasema, hakuna Baba mwenye gari bali kuna Baba mwenye nyumba.
Sasa endeleeni kushindana magari matokeo yake ndio haya ya Diva ambaye hata nikikutana naye siwezi kumtambuwa maana mtandaoni peke yake ana sura zaidi ya 10.
Yupo sahihi, si ana kundi kubwa la mazezeta na misukule yake?Na alivyo zero brain kapost anaenda Mikumi National park kupumzika baada ya kupata nyumba ingine😀😀😀
Ila kweli wale followers ni misukule😀Yupo sahihi, si ana kundi kubwa la mazezeta na misukule yake?
Imagine hata wewe leo uingize million 10 ya bure kwa nini usiende sehemu kujipumzisha unaianza weekend kabisa mpaka jumapili unakula bata na pesa za mazuzu na mazezeta ya Instagram.