Baada ys kukusanya pesa za mazoba yeye huyoo anakwenda kuzipasuwa.sidhani kama kuna mtu amechanga anafanya maigizo ili auridhishe ubongo wake kuwa anapendwa na watu wanaweza kumchangia alipe kodi. au kuna mtu anataka kumuaminisha kuwa anapendwa sana moitandaoni ili ampige hela . mtanzania wa kuchangia kodi kwa mtu kama diva hayupo miaka hii ambayo kila mtu anajua kila kitu. huo ni mtego wake na hela anajua mwenyewe anavyojitumia ili kumseti mtu aingie mtegoni aliwe.
na hata kama wapo waliochanga . haifiki hicho kiasi.
Hakuna Tajiri omba omba mazee.Umasikini unaanza kichwani, Huyo dada simfahamu ila atakuwa ni tajiri, maana ametumia akili kushawishi wajinga wampe pesa na yeye anaendelea kutajirika huko instagram. Kesho unamkuta kwenye jukwaa la super woman.
QmmkBaada ys kukusanya pesa za mazoba yeye huyoo anakwenda kuzipasuwa.
Wajinga ndio waliwao.
View attachment 3677034
Hao watu ndo mnadhani siku watainua makalio na kupambania nchi yao 😄😄.Qmmk
Vichaa hawaishi aisee. Mtu analalamika kodi ya Mil 5 sijui si aamie Nyumba cheap? Unampa msaada mtu usikute ww unakaa Nyumba ya 80k kwa mwezi.Hao watu ndo mnadhani siku watainua makalio na kupambania nchi yao 😄😄.
Hapo kuna watu wanachangia lakini huko kwao hamna hata sukari, na wanae mchangia hata hawajua.
Bongo nyoso 😄
Mkuu, utashangazwa na nguvu ya wajinga wakiwa wengi. Naamini Kuna mbuzi zimechanga.sidhani kama kuna mtu amechanga anafanya maigizo ili auridhishe ubongo wake kuwa anapendwa na watu wanaweza kumchangia alipe kodi. au kuna mtu anataka kumuaminisha kuwa anapendwa sana moitandaoni ili ampige hela . mtanzania wa kuchangia kodi kwa mtu kama diva hayupo miaka hii ambayo kila mtu anajua kila kitu. huo ni mtego wake na hela anajua mwenyewe anavyojitumia ili kumseti mtu aingie mtegoni aliwe.
na hata kama wapo waliochanga . haifiki hicho kiasi.
Mkuu hapo bongo watu wengi hawana akili na maskini.Vichaa hawaishi aisee. Mtu analalamika kodi ya Mil 5 sijui si aamie Nyumba cheap? Unampa msaada mtu usikute ww unakaa Nyumba ya 80k kwa mwezi.
Ona sasa anavyowafanyia dharau eti anapenda Mikumi NP. Hapo si Mil 1+ inatumika?
Anasema mondi kamdhulumu kodi yakeUnaishi masaki kodi huna eeenhhh kazi kweli kweli.
Ndo nilichotaka kusema huyu diva ni delusional aisee!sidhani kama kuna mtu amechanga anafanya maigizo ili auridhishe ubongo wake kuwa anapendwa na watu wanaweza kumchangia alipe kodi. au kuna mtu anataka kumuaminisha kuwa anapendwa sana moitandaoni ili ampige hela . mtanzania wa kuchangia kodi kwa mtu kama diva hayupo miaka hii ambayo kila mtu anajua kila kitu. huo ni mtego wake na hela anajua mwenyewe anavyojitumia ili kumseti mtu aingie mtegoni aliwe.
na hata kama wapo waliochanga . haifiki hicho kiasi.
Hivooo kumbe.Anasema mondi kamdhulumu kodi yake
Wabongo tatizo hatuwazi vizuri, aliyeenda kupanga apartment ya kodi kubwa kwa hiari yake unamchangia?
Halafu baadaye ataanza kuwabeza na kuwadharau hao wachangiaji kwa kuandika broken English mtandaoni
Naam ndugu....