Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila yaliopo Tanzania japo kuna makabila hayana lafudhi
Mimi binafsi napenda lafudhi ya wachaga umkute akitaja MARANGU
SHARE:
Wamakonde marabq wale wa pwani ya Lindi
 
Dongobesh republic napenda sana kuwasiiliza wakiongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…