Ni lazima kumchangia mtu send-off ama harusi?

Sasa hapo huzuni inakuja vp wakati jambo la msingi kuoa lishafanyika. Alafu ungejua watu wa dizaini hio wala hawajali sana watu kuwepo.
 

Aisee wewe una Mitazamo kama Yangu ingefaa nikuoe Tu hakuna namna.
 

Huyo hakua mchangiaji tu bali alijitenga kabisa katika matukio yote ya kijamii,hapa tunazungumiza wanaotaka kuoana kuomba michango.
 

[emoji28][emoji28] hii ndio astaili yangu,mtu anakutafuta akipata tukio,hamjawahi wasiliana tangu mko primary mara ghafla unajikuta upo kwenye group la maandalizi ya harusi na unalazimishwa upledge.
 
Si Lazima ila ni Muhimu sana kushiriki mambo ya kijamii.
Leo kwangu kesho kwako.
you never know nini kitatokea...
 
Kiukwel hua nachanga kwa sababu Sina namna unakuta ni ndugu, jamaa au tuna common background ila Sina raha kbs na hvo vitu 😏😏😏tena mm ni pro kataaa ndoa lkn nachangishwa mambo ya harusi!

Kitu pekee natoa mchango kwa moyo mweupe ni mchango wa msiba au ugonjwa
 
Vimimbamimba vya hapa na pale vinawasumbua nyie wadada!.
 
Kuna rafiki yangu best kabisaa alinificha hata kuhusu kuchumbiwa

Nilimpost mtu kumpongeza suala la harusi yake ndio na yeye ananiambia et naomba mchango nikamuuliza wa nini et send off ndio kunitumia picha

Nikamjibu tu Sawa nikipata nitakupa ila sina mpango huo wa kuchangia kitu
 
Sichangii sherehe yoyote.
 
Hizo ndio tabu za kujuana na watu...

Kama hujaoa au kuolewa unaweza changia, kama umeoa au kuolewa basi changia waliokuchangia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…