Ni lazima kumchangia mtu send-off ama harusi?

Ni lazima kumchangia mtu send-off ama harusi?

Wanandoa wanatutania wadau wao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Niko makini atakayechepuka ninaye lazima mwenzi wake ajue
πŸ˜‚ itafika zamu yako labda uwe mtakatifu vinginevyo utatendewa kwa kiasi kile kile unachotendea wengine.
Alafu jana nilikuona mitaa fulani unapalilia maneno, yani weweπŸ˜‚
 
Ukiwa nayo unachanga, kama huna huchangi. Nadhani ndio inavyokuwa.

Kingine, mnaofanya hizi sherrhe, fanyeni vilivyo ndani ya uwezo wenu. Unataka sherehe kubwa wakati uhalisia wako sio huo.
 
πŸ˜‚ itafika zamu yako labda uwe mtakatifu vinginevyo utatendewa kwa kiasi kile kile unachotendea wengine.
Alafu jana nilikuona mitaa fulani unapalilia maneno, yani weweπŸ˜‚
Me mvivu kubadilisha wapenzi nikiwa na mmoja bas ni huyo huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
So nikila kiapo ndo nitolee nna kinyaa cha kuchungulia mikia ya watu. 🀣

Si unajua vita vya panzi, bahati yao simu iliisha chaji nisingetoka mpk nione mwisho wao πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kumbe watu tuna mikia πŸ˜…

Itabidi nifanye mpango nihame hapa kabla haijafika zamu yangu πŸ˜‚
 
Basi wewe unanifaa Mimi sipendi harusi mwambie mama mkwe kesho nakuja kujitambulisha
Haya mambo ya michango ya harusi sijui send off siyapendii, mama angu nilishamuambia kabisa ikitokea naolewa sitaki shereheee, wala sitaki kusumbua watu, hii kitu naonaga ni kusumbua tu watu, labda nina roho mbaya afu sijijui [emoji23], harusi yenu mnaenda kuishi nyie ila kuwasumbua watu wakuchangie eboo.
 
Ujinga tu.
mtu anataka achangiwe sendoff bajet million 10
wakati hana hata kazi ya kufanya, anaenda kuwa mama wa nyumbani 🀣🀣🀣

Wanawake wengi sijui wana akili gani ?

Hapo ukimshauri tofauti anakuona mchawi
 
Back
Top Bottom