Ni lazima kumchangia mtu send-off ama harusi?

Mh labda miaka hiyo ,Tanzania ya leo na machawa wa leo uwe na pesa uandae sherehe eti watu wagome kuja hata kinafiki lengo wapate cha kusimulia ?

Nop haitokei kwasasa , kikubwa tutafute hela na harusi na masherehe wakati wa kuoana ni mwanzo wa kukaribisha wachawi kwenye ndoa ndiyo maana hazidumu .

Mimi na wangu tumepanga kubebana kama gunia la mkaa , tukishindwana ni kimya kimya kila mtu aone ustaarabu wake hatuwaambii watu siri zetu
 
Mimi kuna watu km wawili hivi sikuwahi kuwa na interaction nao cha ajabu wakaniunga group la Wanakamati pasipo kunishirikisha shughuli yao,halafu mchango kwa mwanakamati kima cha chini ni Tshs.100,000/=.Wakati huo tayari nina kadi zaidi ya kumi za michango,aisee niliwachinjia baharini.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kilichonifanya nikaleta uzi sasa, heee si kaninunia huyo mwanadada, hata nikimsaliamia haitiki! Nikasema labda pengine amevurugwa akili. Siku nyingine tena nikamsalimia kaitika kama kalazimishwa, mind u mimi ndie huwa namuanzaga.
khaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kuhudhuria ndoa ya mtu tena mchana kwangu hapana, ni rahisi kuchanga kuliko kwenda kuhudhuria
Wengi hamuelewi tofauti ya ndoa na harusi, wengi mnapenda kuhudhuria harusi badala ya ndoa.

Jamii ingeipa ndoa uzito hizi divorce zingepunguwa, lakini hamu ya wadada wengi IPO kwenye Kwaito siku ya harusi na hawana issue na ndoa ndio maana nyumba zinawaka moto.
 
mimi huwa NAWAKOA MAKONZI, haiwezekani nichangie harusi halafu ukazagamuliwe nje.

Nambamiza konzi la mwendokasi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ safi sana wizo ndio dawa yao, hawawezi kutupotezea muda wetu na fedha zetu tu kashikilia harusi yao walioapa kuwa mwili mmoja, afu mwili mwingine unazunguka hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…